Wild Thoughts
JF-Expert Member
- Mar 17, 2019
- 562
- 984
Hapo Aj kapigwa boka hilo mpaka chini.Na hili limethibitika leo
View attachment 1115004
Hapo Aj kapigwa boka hilo mpaka chini.Na hili limethibitika leo
View attachment 1115004
Kilichomkuta AJ kwa Andy Ruiz ndio akapigane na Wilder atafia hapo nyie mtieni ujinga tu AJAj anapigana kwa tactics ni kama mayweather tu very defensinve anapiga shots zake accurate sana na chache. He is always waiting mpaka round za baadae mpinzani wake aanze kuchoka ndo aatack with full power. Wielder is rather different yeye anapiga hardest shots zake mwanzoni mwa pambano. Anapiga bila plan shots zake nyingi sio accurate points zinakuwa chache wakati anapoteza nguv nying mno. AJ akiweza kumcontain mpaka round za mbele anachokaga kinoma wakati aj round zinavyoenda anazid kuwa balaa. I see AJ winning a KO on late rounds againts wielder
Wilder anapiga maboka mazito sana jamani, AJ asije akathubutu hilo pambano atafariki.
Watu wa boxing wanatupanga tu. Hiyo imepangwa kuelekea AJ vs Wilder fight. Usishangae Wilder akapigana na Ruiz na kuwa unified world champion then likafata pambano against Joshua.AJ kumbe box tu,kakalishwa ko huko round ya 7
AJ mchumba tu
Watu wa boxing wanatupanga tu. Hiyo imepangwa kuelekea AJ vs Wilder fight. Usishangae Wilder akapigana na Ruiz na kuwa unified world champion then likafata pambano against Joshua.
Una akili timamu?Watu wa boxing wanatupanga tu. Hiyo imepangwa kuelekea AJ vs Wilder fight. Usishangae Wilder akapigana na Ruiz na kuwa unified world champion then likafata pambano against Joshua.
Wilder anapiga maboka mazito sana jamani, AJ asije akathubutu hilo pambano atafariki.
Well said mkuu.Aj kaangushwa mAra 4.kumbe media zina mbebA sana uwezo mdogo.
Akijaribu kupigana n wilder atakufa
AJ kumbe box tu,kakalishwa ko huko round ya 7
Hivi alikataa mwenyewe kuendelea au refa alikatisha pambano!?
Hivi alikataa mwenyewe kuendelea au refa alikatisha pambano!?
Sad......sehemu kubwa ya dunia walikuwa wanampa AJ uwezekano kushinda kwa 95%Refa alikatishA.
Aliesabiwa mpaka 8 ndio akaamka huku damu zikimvuja puani.
Refa aliona jamaa asije akauliwa bure maana jamaa kila wakati analambishwa sakafu.
Refa alimpa maelekezo afanye ilikuthibitisha yuko vizuri jamaa akashindwa refa akaamua kumaliza maana jamaa network ilikata
Sad......sehemu kubwa ya dunia walikuwa wanampa AJ uwezekano kushinda kwa 95%
AJ yupi ilikuwa unamzungumzia hapa chief..?Hapa ni kama kufananisha jitu lenye nguvu alaf halina akili (wilder) na mtu mwenye nguvu alaf ana akili (AJ). Definitely naona Joshua anaenda kushinda hilo pambano. Joshua kaangusha maboxer tough sana ukilinganisha na wilder
Chief..!Una akili timamu?