mxyo16
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 1,243
- 758
Nae kama dada zetu wengi wanaohangaika kupata watoto, alikabiliwa na matatizo ya kushika mimba, na pia alisha fanya hata IVF, yani mayai yake na mbegu za man wake yana ingiziwa mbegu za kiume na baadae, yai lenye maendeleo ya ukuaji ni mzuri linapandikizwa kwenye tumbo la uzazi, Kwa Tyra hakufanikiwa ikabidi apandikizwe mwanamke mwingine wa kujitolea na bahati nzuri kafanikiwa...yai ni la Tyra, mbegu za bwana wake lakini mimba imepandikiwa kitaalamu kwa mwanamke mwingine-Surrogate mother....mpaka kujifungua