Typo3 cms

Typo3 cms

Joined
Feb 18, 2013
Posts
47
Reaction score
14
Kwa anayefahamu namna ya kutengeneza page hadi ikatokea kwa kutumia TYPO3 Content Management Sys, anipatie na mie ujuzi huo tafadhali.
 
sijawahi kutumia typo3 ila nikiijaribu nadhani haitanishinda. subiri nirudi
 
dah! si wengine tuliozoea kutengeneza web pages kwa njia ya notepad++ naona kweusi nikisikia haya mavitu
 
Back
Top Bottom