Life starts at 45
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 976
- 932
Wakuu nilikuwa naomba kama kuna MTU ana full version ya Mavis beacon ama mbadala wake ambao naweza tumia kujifunza kutype
Haina usumbufu wa kuhitaji keysKaka kuna setup wanaita typing master ,ipo google ,ni nzur na nirahisi kutumia