number 10 tumebaki wachache sana na tunatafutwa vya kutosha....
Umeoa wewe, na kama umeoa, ndoa yako ina muda gani. Maisha ya ndoa hayana mfumo maalum, ndio maana Bibllia ianaelekeza Wanaume kuishi na wanawake kwa akili sana (ina maana unaweza kuwa namba 1-10), nao waelekezwa kuwapenda waume zao. Chezea wanawake wewe, jinyenyekeze siku zote uone, unatakikiwa kuwa mtu wa katikati. Mambo yakiwa vizuri unacheka na my wife wako mpaka jino la mwisho, akikurofisha unakuwa mkali kama Nyati wa Selous. Kama ukiendekeza namba kumi, siku ukibadilika, itabidi umwambie mkeo hiyo tabia nani kakufundisha ikiwa ni pamoja na marafiki zako kupigwa marufuku kufika hapo kwako.
Ni afadhali awe # 10 na michepuko hata 100 kuliko ACIDIC au SLAVE!Mwanaume anaweza kuwa No. 10 bado akawa na kamchepuka kama kawa kama dawa!
I am a 'SITUATIONAL' HUSBAND...i take all numbers from 1-10. It depends on "mazingira". Wanawake ni viumbe wasiotabirika wala "kueleweka" na ili uishi nao vizuri na kwa amani kabisa basi na wewe mume uwe "hutabiriki" wala "hueleweki" .ukitabirika tu basi ujue hutakuwa"mume" tena. Kuna wakati unaweza ukawa unampa spiritual guidance kwa mfano,lakini kutokana na imani kuwa ndogo juu ya kile unachomuongoza anaweza akawa mkaidi sana kufuata.mfano kwa waislamu mwanamume anatakiwa ahakikishe mkewe anasali sala tano(kuswali ni LAZIMA,unless awe na udhuru unaoruhusiwa kisheria kutoswali km vile kuwa kwenye MP) Au kwa wakiristo ni muhimu mume kuhakikisha mkewe anasali ama kwa kwenda kanisani au hata kusali nyumbani nk. Sasa kama mkeo ni"bongo fleva" halafu ukataka kuapply namba 10 hapo juu basi UTAFELI TU. Ama kuna wakati mume unakuwa na muda wa kuwahi nyumbani kuliko mkeo ambaye labda majukumu ya kazi yanambana sana...hapa unatakiwa uwe namba 10 uhakikishe unamjali na kumsaidia mkeo kwa majukumu mengi sana...na wala kumsaidia huko hakutakufanya usiwe"mwanamume wa shoka".kwa hiyo kwa kifupi mume bora ni yule anae dance acording to the tune'
Mwanaume anaweza kuwa No. 10 bado akawa na kamchepuka kama kawa kama dawa!