Type the word "NO" kama haukubali na LOCKDOWN Tanzania

Nishawaanbia TULIENI KUWENI NA AMANI MIMI NIPO NAJUA CORONA HAINA UJANJA HAPA TANZANIA.
Kwa hyo ondoeni shaka na KUWENI na AMANI..
Lakini pia msijisahau endeleeni kujilinda.
Pia kumuomba mungu atuliende..
Tutavuka.
MAISHA YETU YA BONGO NI CORONA TOSHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mipaka ishafungwa?

Ikishafungwa , ni bora kufanya lockdown ya 14 days sasa hivi kuliko moto ukipamba. Ukifanya sasa hivi utawapata wagonjwa wachache wa kuwauguza na kuwatenga na jamii kuliko hapo baadae.

Tuangalie upepo unaendaje, lakini kwa jinsi nilivyoona nchi zingine ni vizuri kufanya maamuzi mapema.

Kitu kingine muhimu naishauri serikali waweke sheria ya kuvaa mask kwa mtu yoyote atakapo kuwa nje ya nyumba yake.

Na mask sio lazima ya kununua, watu wanaweza kushona tu wenyewe kama hawana uwezo wa kununua.

Tusisubiri mambo yapambe moto.
 
Back
Top Bottom