Type the word "NO" kama haukubali na LOCKDOWN Tanzania

Akilitime

JF-Expert Member
Dec 27, 2017
581
757
Kwa wale wanaosema Tanzania hakuna ulaazima wa lockdown, pia shughuli za kiofisi biashara ziendelee , Watu waendelee kufuata tafadhari na kuwatii wenye mamlaka (viongozi wa nchi) maana Ni watumishi wa Mungu.

##Maofisini, vyuoni, sehemu za biashara tahadhari za kiafya zizingatiwe

Type the word "NO"

Ee Bwana Mungu kusudi lako kwa Tanzania na litimie. ZAIDI utusamehe uovu na uchafu wetu kupitia mwanao Yesu Kristo.

Amen.
 
No, tukiiga tutakufa, Marekani wenzetu wametenga/zaidi ya shilingi trilioni elf 4 kwa miezi minne ijayo zitumike kulipia watu ambao wapo ndani hiki kipindi,

mtoto anapewa milioni, mkubwa anapewa milioni 2 na nusu, kama ni mkubwa huna ajira unapewa milioni na nusu (kwa maelezo zaidi sechi corona stimulus package)

Huku tukiiga tutayumba sana
 
No, tukiiga tutakufa, Marekani wenzetu wametenga trilioni elf 2 kwa miezi minne ijayo zitumike kulipia watu ambao wapo ndani hiki kipindi, mtoto anapewa milioni, mkubwa anapewa milioni 2 na nusu, kama ni mkubwa huna ajira unapewa milioni na nusu (kwa maelezo zaidi sechi corona stimulus package)

Huku tukiiga tutayumba sana
Trillioni elfu 2 unaifahamu lkn?
 
Back
Top Bottom