Simply hizo huwa wanaziita Trim levels.
Utofauti huwa upo kuanzia kwenye engine na vitu vingine vingi tu kama Sunroof/Moonroof, leather, heated seat, paints strips, comfort n.k.
Mfano kwenye prado TX ndio base model. Maana ukiikuta TXL inakuwa kuna vitu imeongezwa.
Hii kitu iko kwenye gari nyingi.
Mfano pia Premio ina Trim level 3
F yenye Cc1490
X yenye Cc1790
G yenye Cc1990
Apart from huo utofauti wa engine, Ukiendesha G imetulia sana road.