Two more bars set on fire in Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Two more bars set on fire in Zanzibar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Edward Teller, Mar 17, 2011.

 1. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Incidents of setting bars on fire in Zanzibar have gone on unabatted after two more were torched in West Urban and Unguja South regions.

  The latest incidents make the number of bars that have so far been torched to reach six in a period of just one month, sending a wave of fears among owners of joints that sell alcoholic drinks.


  Acting regional police commander for West Urban region Ahmada Abdalla confirmed the occurrence of the incidents, saying the police had launched investigations into the incidents.

  He said bars which were torched in the region include Festa bar located at Bububu Kitosani and Lukenge bar located at Jang'ombe Urusi.


  He said some unidentified people set Festa Bar on fire on March 12, this year, in the afternoon, causing a huge loss to the proprietors.

  Ahmada said another arson incident occurred on the same day after unidentified people set Lukenge bar on fire, causing a loss estimated at more than 1m/-, after a section of the roof got destroyed by the fire. He said all the bars were thatched with dry coconut leaves.

  He said Lukenge bar is owned by Simon Benedict Kunambi, while the proprietor of Festa bar is Mussa Suleiman Paulo, both residents of Zanzibar.

  He said no one had so far appeared in court in connection with any of the arson incidents.

  "So far the incidents of torching bars have reached five in West Urban Region, and we're yet to arrest or take anyone to court in connection with the incidents," he said.

  Other bars that were set on fire by arsonists include Peace and Love, located at Chumbuni; Migombani bar located at Stone Town and another bar located at Mwanyanya, on the outskirts of Zanzibar.


  "We will continue to search for those who took part in the incidents and take them to court," he said.

  However, he said it was time the Zanzibar liquor law was reviewed in order to minimise misunderstanding between the proprietors of the drinking joints and the communities in which the joints are located.


  SOURCE: THE GUARDIAN
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Hivi kuna yeyote anakemea au kukamatwa kuhusu uharibifu wa wali za watu au serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeridhia,wameenza na mabaa mwisho watakuja nyumba za makafiri
   
 3. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Wangekemea tungewasikia unless kama wanakemea kimoyomoyo, ambayo haisaidii hata kidogo!
   
 4. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hawana maana hawa Wazanzibar na bar zote zinazochomwa ni zile za watu wanaotoka Bara mbona kuna Bar kama Livingstone ya mtoto wa Karume, CCM Bar ya Chama, Gymkana mbona hazichomwi, yaani hii mijamaa ina roho ya kigaidi na sababu za kuchoma hizo mbona hazieleweki? Kweli kwa hili linakuwa na utata na mimi sielewi ni kwanini yote haya yamefumbiwa macho halafu na moja ya wanywaji ni hawa ma ustadhi,na waswalihina na wakishakunywa wanajifanya wanatafuna karafuu halafu wanaingia kuswali kama kawa unafiki mtu! Halafu na wanaofanya hivyo ni watu wa mitaani sio mkono wa serikali maana ingekuwa ni serikali wasingeruhusu zivushwe bandarani na kupitishwa mtaani kwenye magari. Poleni sana wazee wa vinywaji hapa Unguja
   
 5. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wamemaliza mambo ya siasa sasa wanatafuta chochoko zingine .
  Wao muda wote wanataka kuwa katika migogoro

  chochoko kibao.
  Too low !
   
 6. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  kwani kuna uhusiano kati ya mabaa na makafiri..? inamaana makafiri ndio walevi?
   
 7. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wangejua Serikali ya JMT inaishi kwa kodi za walevi...........
   
 8. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mimi nashindwa kujua kwa nini wanachoma hizo bar-au wanataka hicho kisiwa kisiwe na bar kabisa?maana kama swala la pombe ni haram kwao-waache kunywa-simple like that-wakishaachwa waendelee mtindo huu watafikia kuwachomea nyumba watu wa dini nyingine-
  hawataweza kujitenga na maovu ya dunia hii maana wenyewe wapo kwenye dunia hii hii-
   
 9. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,896
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  hamna tena point ya mimi kwenda zacation in zenji....
   
 10. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hicho kisiwa tena hakifai-extrimists washaingia humo-walishabomoa makanisa-sasa bar-what next?kama si kuwaua owners wa hiz bar
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Sishangai, mungu wao ndo anawashauri kuharibu hata kuua watu wengine!
   
 12. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Walevi ZNZ mucje 2tashukuru coz pombe ina madhara mengi kwenye jamii mfano ndoa kuharibika,kukufanya ufanye kitendo ambacho huwezi kukifanya ukiwa hujalewa, na 3 pombe haina ustaarabu ndo maana wa2 wa bara vitendo vyenu vya ajabu kwa ajili ya pombe asante mungu nimezaliwa ZNZ na co mlevi
   
 13. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kuna chuki za kidini zinahubiriwa mitaani hapa Dar, utadhani misikiti imenunuliwa kuajiri watu kufanya hiyo kampeni.
   
 14. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Allah in action
   
 15. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu yaani huwezi amini, kila kukicha wanakuja na usumbufu mwingine, na serikali iko kimyaaaaa najiuliza hivi kama upande mwingine ungekuwa unaendesha hii mihadhara serikali ingekaa kimya? Bora kukaa na mwendawazimu kuliko mpumbavu na mjinga!
   
 16. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #16
  Mar 17, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
 17. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Ina maana Rais Karume aka Ahmada ni *****....... What!!!!!!!
   
 18. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ndugu yangu kuna vitu vingi sana zaidi ya pombe ambavyo vina madhara makubwakuna watu wamekuwa wakinywa pombe over 40 years pasipo madhara yoyote-NA KATI YA WATU WA TANGANYIKA NA NYIE WA ZENJI-WAPI WANA MAMBO YA AJABU AJABU?
   
 19. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #19
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu yaani huwezi amini, kila kukicha wanakuja na usumbufu mwingine, na serikali iko kimyaaaaa najiuliza hivi kama upande mwingine ungekuwa unaendesha hii mihadhara serikali ingekaa kimya? Bora kukaa na mwendawazimu kuliko mpumbavu na mjinga!
   
 20. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #20
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu yaani huwezi amini, kila kukicha wanakuja na usumbufu mwingine, na serikali iko kimyaaaaa najiuliza hivi kama upande mwingine ungekuwa unaendesha hii mihadhara serikali ingekaa kimya? Bora kukaa na mwendawazimu kuliko mpumbavu na mjinga!
   
Loading...