Two brothers found innocent after spending 30 years in jail

Two brothers found innocent after spending 30 years in jail

Omutwale

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2008
Posts
1,429
Reaction score
1,053

The American judicial system will so pay through their noses for this. How can someone go to jail for 30 friggin years for a crime they did not commit? These dudes had better slap the government with nothing less than a Fifty Billion Dollar law suit.Two US men who spent three decades in prison for rape and murder.

One of them on death row, have been released after DNA evidence proved their innocence. More…Mentally disabled half brothers Henry McCollum, 50, and Leon Brown, 46, were convicted in 1984 of raping and killing an 11-year-old girl in North Carolina.Recently analysed DNA evidence from the crime scene implicated another man, who is in prison for a similar crime.

A county judge ordered the immediate release of the brothers.Tuesday's court judgement followed an investigation by the North Carolina Innocence Inquiry Commission, which tested DNA evidence found at the scene.

The commission found that none could be traced to
Mr. McCollum or Mr Brown."This case is a tragedy which has profoundly affected not only the lives of the people involved, but which profoundly affects our system of justice in North Carolina," said lawyer for Mr Brown, Ann Kirby.

The near-naked body of 11-year-old Sabrina Buie was found in 1983 near the town of Red Springs, North Carolina. She had been raped before being killed.

Mr. McCollum and Mr Brown, who were 19 and 15 at the time, were picked up by police a few weeks later. There was no physical evidence connecting them to the crime.Mr. McCollum confessed after five hours of intense questioning, without a lawyer or family member present.

His younger brother also signed a confession written by the police.The two later recanted their confessions in court, saying they were made under duress.

But despite a weak case, the brothers were found guilty and given death sentences.Mr. Brown's sentence was later reduced to life in prison and his charge reduced to rape, but Mr. McCollum remained on death row for three decades.In the years since their false confessions, Mr. McCollum and Mr. Brown maintained their innocence and made a number of appeals.

In 2010 the North Carolina Innocence Inquiry Commission took up their case and uncovered evidence the men's legal team had not been able to obtain.

The evidence found no link between the brothers and the victim, but did implicate Roscoe Artis, 74, who lived close to where the victim's body was found.

Although he was not a suspect in the original case, Artis was found guilty for the rape and murder of another girl in similar circumstances less than a month after Sabrina Buie's killing.

After Tuesday's release of Mr. McCollum and Mr.Brown, their legal team thanked those who had worked to correct wrongs that occurred under the previous prosecutions"It's terrifying that our justice system allowed two intellectually disabled children to go to prison for a crime they had nothing to do with, and then to suffer there for 30 years," said lawyer Ken Rose.

"It's impossible to put into words what these men have been through and how much they have lost."

Source
: mysugardaily

Two Brothers Found Innocent After Spending 30 Years in Jail
For Rape & Murder They Didn't Commit
 
Dah habari ya kutisha sana. Unatumikia kifungo cha miaka kadhaa ndani kwa kosa ambalo hujatenda na baadae unakuja kujikuta eti unaachiwa huru kuwa sio wewe uliyefanya hilo
Na wengi wako ndani kwa kesi kama hizi ila kwa kwetu hakuna wa kuwabebea bango kuhakikisha kuwa wanatoka au wanatafutwa wahusika halali wa makosa yao
 
Hakuna kitu kinanikera na kuniudhi ndani ya JF ya miaka hii kama hii tabia moderators (Paw Invisible, Cookie, Mhariri, Active, Moderator) kuwabadilishia members headings na contents za habari wanazoleta au mada wanazoanzisha. Suala hili linakwenda kinyume na slogan ya JF. Nadhani kwa mtindo huu kaulimbiu sahihi ya JF inapaswa kuwa ama "Where Moderator's Content Count" au "Where Freedom Belongs to Moderators" instead of "Where we Dare to Talk Openly"

Hii habari ya kesi husika nilipoibandika hapa niliipa kichwa cha habari chenye kumfanya msomaji aimithilishe kwa haraka na ile ya Babu Seya na dhidi ya kile kinachoweza kuwa hatma yake siku za mbeleni. Mtindo huu ni fasihi andishi ya uelewa wa kawaida kabisa. Nashangaa moderator kwa uwezo na utashi wake kaamua kuanzisha thread mpya kwa jina langu!

Kwenu moderators (Paw Invisible, Cookie, Mhariri, Active, Moderator) naomba kati ya haya mawili fanyieni kazi moja; kuondoa jina langu kama muanzishaji wa hii thread au kurejesha uzi original.

Lini JF imegeuka Dalasa la Chekechea kuanza kufundishana uandishi wa vichwa vya habari?
 
[h=2]Kichwa cha habari yako kilikuwa misleading, unasema habari nyingine na unatoa kichwa cha habari kingine kabisa......moderators wanasimamia haki za watu wote (sio zako mwenyewe) na kwa sababu habari yako inaonekana ni yakweli kabisa na kichwa cha habari ndicho cha uongo (huo ndio ukweli - kichwa cha habari ulichokiweka ni cha uongo) ndio wakaamua kukibadilisha kiendane na habari iliyopo ndani......

Kama ambavyo wanatakiwa waiondoe habari ambayo ni wazi kwamba ni ya uongo sioni kwa nini unawahukumu wanapokiondoa kichwa cha habari ambacho ni wazi kwamba ni cha uongo.....

[/h]
Hakuna kitu kinanikera na kuniudhi ndani ya JF ya miaka hii kama hii tabia moderators (Paw Invisible, Cookie, Mhariri, Active, Moderator) kuwabadilishia members headings na contents za habari wanazoleta au mada wanazoanzisha. Suala hili linakwenda kinyume na slogan ya JF. Nadhani kwa mtindo huu kaulimbiu sahihi ya JF inapaswa kuwa ama “Where Moderator’s Content Count” au “Where Freedom Belongs to Moderators” instead of “Where we Dare to Talk Openly”

Hii habari ya kesi husika nilipoibandika hapa niliipa kichwa cha habari chenye kumfanya msomaji aimithilishe kwa haraka na ile ya Babu Seya na dhidi ya kile kinachoweza kuwa hatma yake siku za mbeleni. Mtindo huu ni fasihi andishi ya uelewa wa kawaida kabisa. Nashangaa moderator kwa uwezo na utashi wake kaamua kuanzisha thread mpya kwa jina langu!

Kwenu moderators (Paw Invisible, Cookie, Mhariri, Active, Moderator) naomba kati ya haya mawili fanyieni kazi moja; kuondoa jina langu kama muanzishaji wa hii thread au kurejesha uzi original.

Lini JF imegeuka Dalasa la Chekechea kuanza kufundishana uandishi wa vichwa vya habari?
 
That is the highest degree of miscarriage of justice... But at last God heard their cry and set them free!
 
Kichwa cha habari yako kilikuwa misleading, unasema habari nyingine na unatoa kichwa cha habari kingine kabisa......moderators wanasimamia haki za watu wote (sio zako mwenyewe) na kwa sababu habari yako inaonekana ni yakweli kabisa na kichwa cha habari ndicho cha uongo (huo ndio ukweli - kichwa cha habari ulichokiweka ni cha uongo) ndio wakaamua kukibadilisha kiendane na habari iliyopo ndani......

Kama ambavyo wanatakiwa waiondoe habari ambayo ni wazi kwamba ni ya uongo sioni kwa nini unawahukumu wanapokiondoa kichwa cha habari ambacho ni wazi kwamba ni cha uongo.....

...0.5!!!!!!!!!!!!!do us a favour
 
Dah!!, nimeamini waokwenda jela sio wote wenye hatia.
Haki mbinguni, duniani ni dhulumati.
 
Kwani kichwa kama hicho kilikuwa na ubaya gani ikiwa msomaji atavutiwa kuingia ndani na ukweli akaupata humo, mbona kuna uandishi aina nyingitu! ONE HUSBAND THREE ............
 
SOOOOO PAINFUL! :A S-confused1::A S-confused1:
 
this world is not fair kwa kweli,yani watu wameingia jela wakiwa na miaka 15 na 19 then miaka 30 baadae ndio inakuja kugundulika kuwa they were innocent?future yote teyari imeshaharibika,nafikiri lipo jambo la msingi sana la kujifunza kutoka na hicho tulichokisikia hapo wakuu.
 
Hakuna kitu kinanikera na kuniudhi ndani ya JF ya miaka hii kama hii tabia moderators (Paw Invisible, Cookie, Mhariri, Active, Moderator) kuwabadilishia members headings na contents za habari wanazoleta au mada wanazoanzisha. Suala hili linakwenda kinyume na slogan ya JF. Nadhani kwa mtindo huu kaulimbiu sahihi ya JF inapaswa kuwa ama “Where Moderator’s Content Count” au “Where Freedom Belongs to Moderators” instead of “Where we Dare to Talk Openly”

Hii habari ya kesi husika nilipoibandika hapa niliipa kichwa cha habari chenye kumfanya msomaji aimithilishe kwa haraka na ile ya Babu Seya na dhidi ya kile kinachoweza kuwa hatma yake siku za mbeleni. Mtindo huu ni fasihi andishi ya uelewa wa kawaida kabisa. Nashangaa moderator kwa uwezo na utashi wake kaamua kuanzisha thread mpya kwa jina langu!

Kwenu moderators (Paw Invisible, Cookie, Mhariri, Active, Moderator) naomba kati ya haya mawili fanyieni kazi moja; kuondoa jina langu kama muanzishaji wa hii thread au kurejesha uzi original.

Lini JF imegeuka Dalasa la Chekechea kuanza kufundishana uandishi wa vichwa vya habari?

Mie nilianzisha yangu ikabadilishwa pia....hawa jamaa wanakera sana siku hizi
 
Umepiga pentagon mkuu.

Nadhani ujumbe umefika. Manake sisi wengine tukiyaandika haya tunapigwa Ban!
 
Hii inasikitisha sana, ila jamaa lazima watadai fidia wamalizie maisha yao yaliyobaki kama wafalme...uzuri sio bongo ambako mtu hata ukidai fidia utajisumbua bure tu
 
Back
Top Bottom