Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 16,637
- 31,135
nendeni mkauondoshe mnangojea kipiIran huwa mchokozi and akipigwa anasema anaonewa.. utawala wa ayatollah unatakiwa uondoshwe wote ili iran iwe huru. Raia wakilia wanazibwa midomo.. utawala wa ayatollah umepata maraisi wafuasi wengi Africa akiwemo jiwe kupoteza watu na kuwaonea
Sent from my SM-J5108 using JamiiForums mobile app