Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,722
- 6,056
Wapiga kura wana matatizo.Hiki kipindi dunia imepata viongozi wa hovyo kuliko kipindi kingine chochote tangu tuingie new millennium
Wapiga kura wana matatizo.Hiki kipindi dunia imepata viongozi wa hovyo kuliko kipindi kingine chochote tangu tuingie new millennium
Ikishafika tarehe 20 January, tayari Trump siyo Rais.Imagine hana mpango wa kuachia ofisi!
TRUMP ABANDULIWA.Imagine hana mpango wa kuachia ofisi!
Mtu jina lako ni CHELU utakuwa mzima kweli wewe.Hili ni tatizo lako la siku zote, badilika.
Your head needs to roll.Obama jana aliulizwa kwenye interview moja swali hilo hilo, na akajibu kama mdau alivyosema. Japo alijibu huku anacheka. So sijui ilikuwa utani au ni kweli.
Uko sahihi kabisa.Mtu jina lako ni CHELU utakuwa mzima kweli wewe.
Mkuu wewe unaamini hawa viongozi wanapatikana kwa bahati mbaya?Hiki kipindi dunia imepata viongozi wa hovyo kuliko kipindi kingine chochote tangu tuingie new millennium
Hivi nyie watu haya ma-story huwa mnaokota wapi?
Mnafikiri kitanzagiza giza kwenye issue inayoihusu the great nation mnasikitisha sana.
Democrasia huleta vituko .nakumbuka tukiwa form 2C nilishaawahi kuwa na na kiongozi mfuta bangi kwa darasani kulikuwa na wavuta bangi wengi wakamchagua mwemzakoTrump hana mpango wa kuachia ofisi!Dunia ina maajabu walahi,imagine Taifa kubwa kama Marekani linakuwa na Rais punguaniView attachment 1631499
Mkuu wewe unaamini hawa viongozi wanapatikana kwa bahati mbaya?
Kila unaloona limekwisha kukusudiwa..
Kama Siyo Mbinguni basi ni kuzimu...
Na kwa tunaosoma maandiko tunajua Hakuna utawala unaosimama kwa bahati mbaya
Hata kama tunauona ni wa kikatili na wa Hovyo kiasi gani
Pia tunafahamu kwamba huko mbeleni (Muda wowote kuanzia sasa) baada ya unyakuo wa Kanisa,
Mungu mwenyewe atampa Shetani Miaka Saba ya kuutawala Ulimwengu apendavyo,
na hapo ndipo kutakuwa na Kilio na Dhiki kuu ambayo haijapata kitokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu hata sasa.
Sasa kama Maandiko yanatuambia Mungu atampa shetani mamlaka ya kuitawala dunia Sembuse Trump??
Demokrasia unayoiona kwa sasa ni ya Muda mfupi sana, tena sana, ila ni Maandalizi ya utawala wa serikali moja ya Dunia ,Serikali katili, Chafu, na Hatari kuliko unavyodhania..
Kuundwa kwa EU,NATO, nk ni maandalizi tu....
Ogopa Demokrasia inayokwambia kutoa mimba (haijalishi ina ukubwa gani) Kuoana wanawake kwa wanawake, Wanaume, na kuchagua jinsia unayoitaka eti ndiyo Haki...na Zimetungiwa Sheria kuzilinda
Hebu fikiria kamala Harris kabla hajawa mgombea anafanya haya, tena hadharani Sembuse akiapishwa? Si tutalazimishwa hata kwa Viboko...
Huyu ndiyo kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea na siyo Trump
Huwezi kukuta Trump au mteule wake anafanya upuuzi kama huu wa Kamala Harris kuwafungisha ndoa wapenzi wa jinsia moja hadharani↓↓↓
↓↓
Trump hajaibiwa kura, anajaribu kuwahaminisha mashabiki wake kuwa kaibiwa,Hivi Anaibiwaje kura kwa mfano? Embu elezea.Ishu ni kwamba Trump kaibiwa malaki ya kura wazi wazi, huu ndio ukweli japo wafatiliaji wa cnn hamuwezi kuelewa
Kuna hata mtu mmoja alishawahi kuelezea dunia ni kwa namna gani Trump alisaidiwa na Russia kuingia ikulu?.Iweje leo Trump akisema ameibiwa kura mnamuona kichaa wakati hizi sarakasi walizianza ma liberals baada ya kushindwa uchaguzi 2016.Hivi unakumbuka hadi waliandamana kupinga electoral college??.Vipi leo EC imekuwa na maana tena baada ya kuwapa favor??.Mtu anaposema hana confidence na election process,sio kazi ya media kupinga,ni kazi ya vyombo vya sheria kuingia na FBI kufanya uchunguzi kama walivyofanya uchunguzi kwenye fake Russia probeTrump hajaibiwa kura, anajaribu kuwahaminisha mashabiki wake kuwa kaibiwa,Hivi Anaibiwaje kura kwa mfano? Embu elezea.
Yaani kati ya silaha Kubwa na Hatari zinazotumika ili kuudanganya ulimwengu na Kuanzisha Uasi uliopitiliza na Uchafu na uharabifu mkubwa wa. Maadili ni Vyombo vya Habari.. Hasa vikubwa Kama CNN, BBC, nk.Hakika wahanga wa fake corrupt news wapo wengi sana kasoro wachache kama wewe na mimi, mi nashangaa media inampa boost sana biden na wengi ukiwauliza biden kafanya nini kinachokuvutia kwamba atakuwa raisi bora wao hawana cha kujibu, Kwanza huyu biden kwa hali yake hii naona itabidi akabidhi uraisi kwa huyu kichaa kamala harris
Mkuu majimbo yanaendelea KUSATIFY MATOKEO, Kama ana ushahidi aweke mezani, Trump is doomed and he is on the way OUT,Period.Kuna hata mtu mmoja alishawahi kuelezea dunia ni kwa namna gani Trump alisaidiwa na Russia kuingia ikulu?.Iweje leo Trump akisema ameibiwa kura mnamuona kichaa wakati hizi sarakasi walizianza ma liberals baada ya kushindwa uchaguzi 2016.Hivi unakumbuka hadi waliandamana kupinga electoral college??.Vipi leo EC imekuwa na maana tena baada ya kuwapa favor??.Mtu anaposema hana confidence na election process,sio kazi ya media kupinga,ni kazi ya vyombo vya sheria kuingia na FBI kufanya uchunguzi kama walivyofanya uchunguzi kwenye fake Russia probe