Twitter to hand POTUS account to Biden on inauguration day

Obama jana aliulizwa kwenye interview moja swali hilo hilo, na akajibu kama mdau alivyosema. Japo alijibu huku anacheka. So sijui ilikuwa utani au ni kweli.
Your head needs to roll.
Ukiishi sana Tanzania bila kusafiri mataifa mbalimbali unakuwa mjinga.

Usininukuu vibaya ila vyooote vinavyoendelea unavyoviona au kuvisikia ni kazi ya media Trump ni sawa ni hotcake ya media.
Trump kukabidhi mamlaka kwa Joe au kutokukabidhi sio mjadala U.S.
 
Ishu ni kwamba Trump kaibiwa malaki ya kura wazi wazi, huu ndio ukweli japo wafatiliaji wa cnn hamuwezi kuelewa
 
Hiki kipindi dunia imepata viongozi wa hovyo kuliko kipindi kingine chochote tangu tuingie new millennium
Mkuu wewe unaamini hawa viongozi wanapatikana kwa bahati mbaya?
Kila unaloona limekwisha kukusudiwa..
Kama Siyo Mbinguni basi ni kuzimu...

Na kwa tunaosoma maandiko tunajua Hakuna utawala unaosimama kwa bahati mbaya
Hata kama tunauona ni wa kikatili na wa Hovyo kiasi gani

Pia tunafahamu kwamba huko mbeleni (Muda wowote kuanzia sasa) baada ya unyakuo wa Kanisa,

Mungu mwenyewe atampa Shetani Miaka Saba ya kuutawala Ulimwengu apendavyo,

na hapo ndipo kutakuwa na Kilio na Dhiki kuu ambayo haijapata kitokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu hata sasa.

Sasa kama Maandiko yanatuambia Mungu atampa shetani mamlaka ya kuitawala dunia Sembuse Trump??

Demokrasia unayoiona kwa sasa ni ya Muda mfupi sana, tena sana, ila ni Maandalizi ya utawala wa serikali moja ya Dunia ,Serikali katili, Chafu, na Hatari kuliko unavyodhania..

Kuundwa kwa EU,NATO, nk ni maandalizi tu....

Ogopa Demokrasia inayokwambia kutoa mimba (haijalishi ina ukubwa gani) Kuoana wanawake kwa wanawake, Wanaume, na kuchagua jinsia unayoitaka eti ndiyo Haki...na Zimetungiwa Sheria kuzilinda

Hebu fikiria kamala Harris kabla hajawa mgombea anafanya haya, tena hadharani Sembuse akiapishwa? Si tutalazimishwa hata kwa Viboko...
Huyu ndiyo kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea na siyo Trump
Huwezi kukuta Trump au mteule wake anafanya upuuzi kama huu wa Kamala Harris kuwafungisha ndoa wapenzi wa jinsia moja hadharani↓↓↓
↓↓

Kuna vitu vinafrahisha kwa kweri yani kuna watu asa wa bongo wenzangu hawajui ata kwa nn wanamchukia Trump wanamchukia tu, awezi ata kutaja wapi Trump alikosea na alitaliwa afanyeje tofauti So stupid! Brainwashed
 
Hivi nyie watu haya ma-story huwa mnaokota wapi?
Mnafikiri kitanzagiza giza kwenye issue inayoihusu the great nation mnasikitisha sana.

Hilo ni jibu alilotoa [ Obama] mtangulizi wake alipoulizwa watamfanyanini akigoma kuondoka IKULU !!!
 
Mkuu wewe unaamini hawa viongozi wanapatikana kwa bahati mbaya?
Kila unaloona limekwisha kukusudiwa..
Kama Siyo Mbinguni basi ni kuzimu...

Na kwa tunaosoma maandiko tunajua Hakuna utawala unaosimama kwa bahati mbaya
Hata kama tunauona ni wa kikatili na wa Hovyo kiasi gani

Pia tunafahamu kwamba huko mbeleni (Muda wowote kuanzia sasa) baada ya unyakuo wa Kanisa,

Mungu mwenyewe atampa Shetani Miaka Saba ya kuutawala Ulimwengu apendavyo,

na hapo ndipo kutakuwa na Kilio na Dhiki kuu ambayo haijapata kitokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu hata sasa.

Sasa kama Maandiko yanatuambia Mungu atampa shetani mamlaka ya kuitawala dunia Sembuse Trump??

Demokrasia unayoiona kwa sasa ni ya Muda mfupi sana, tena sana, ila ni Maandalizi ya utawala wa serikali moja ya Dunia ,Serikali katili, Chafu, na Hatari kuliko unavyodhania..

Kuundwa kwa EU,NATO, nk ni maandalizi tu....

Ogopa Demokrasia inayokwambia kutoa mimba (haijalishi ina ukubwa gani) Kuoana wanawake kwa wanawake, Wanaume, na kuchagua jinsia unayoitaka eti ndiyo Haki...na Zimetungiwa Sheria kuzilinda

Hebu fikiria kamala Harris kabla hajawa mgombea anafanya haya, tena hadharani Sembuse akiapishwa? Si tutalazimishwa hata kwa Viboko...
Huyu ndiyo kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea na siyo Trump
Huwezi kukuta Trump au mteule wake anafanya upuuzi kama huu wa Kamala Harris kuwafungisha ndoa wapenzi wa jinsia moja hadharani↓↓↓
↓↓

Hakika wahanga wa fake corrupt news wapo wengi sana kasoro wachache kama wewe na mimi, mi nashangaa media inampa boost sana biden na wengi ukiwauliza biden kafanya nini kinachokuvutia kwamba atakuwa raisi bora wao hawana cha kujibu, Kwanza huyu biden kwa hali yake hii naona itabidi akabidhi uraisi kwa huyu kichaa kamala harris
 
Ishu ni kwamba Trump kaibiwa malaki ya kura wazi wazi, huu ndio ukweli japo wafatiliaji wa cnn hamuwezi kuelewa
Trump hajaibiwa kura, anajaribu kuwahaminisha mashabiki wake kuwa kaibiwa,Hivi Anaibiwaje kura kwa mfano? Embu elezea.
 
Kuna hata mtu mmoja alishawahi kuelezea dunia ni kwa namna gani Trump alisaidiwa na Russia kuingia ikulu?.Iweje leo Trump akisema ameibiwa kura mnamuona kichaa wakati hizi sarakasi walizianza ma liberals baada ya kushindwa uchaguzi 2016.Hivi unakumbuka hadi waliandamana kupinga electoral college??.Vipi leo EC imekuwa na maana tena baada ya kuwapa favor??.Mtu anaposema hana confidence na election process,sio kazi ya media kupinga,ni kazi ya vyombo vya sheria kuingia na FBI kufanya uchunguzi kama walivyofanya uchunguzi kwenye fake Russia probe
 
Hivi kuna sehemu Trump alishawahi kusema hataondoka Ikulu??.Hizi habari huwa mnazipata wapi,Tatizo liberal media propaganda zinawaaminisha ugoro sana
 
Hakika wahanga wa fake corrupt news wapo wengi sana kasoro wachache kama wewe na mimi, mi nashangaa media inampa boost sana biden na wengi ukiwauliza biden kafanya nini kinachokuvutia kwamba atakuwa raisi bora wao hawana cha kujibu, Kwanza huyu biden kwa hali yake hii naona itabidi akabidhi uraisi kwa huyu kichaa kamala harris
Yaani kati ya silaha Kubwa na Hatari zinazotumika ili kuudanganya ulimwengu na Kuanzisha Uasi uliopitiliza na Uchafu na uharabifu mkubwa wa. Maadili ni Vyombo vya Habari.. Hasa vikubwa Kama CNN, BBC, nk.
Na ili tukamatike vizuri wameleta kwa lugha zote duniani ili asiwepo ambaye hata sikia wala kuelewa mfano BBC mpaka kisomali ,kinyarwanda zoote zipo
 
Kuna hata mtu mmoja alishawahi kuelezea dunia ni kwa namna gani Trump alisaidiwa na Russia kuingia ikulu?.Iweje leo Trump akisema ameibiwa kura mnamuona kichaa wakati hizi sarakasi walizianza ma liberals baada ya kushindwa uchaguzi 2016.Hivi unakumbuka hadi waliandamana kupinga electoral college??.Vipi leo EC imekuwa na maana tena baada ya kuwapa favor??.Mtu anaposema hana confidence na election process,sio kazi ya media kupinga,ni kazi ya vyombo vya sheria kuingia na FBI kufanya uchunguzi kama walivyofanya uchunguzi kwenye fake Russia probe
Mkuu majimbo yanaendelea KUSATIFY MATOKEO, Kama ana ushahidi aweke mezani, Trump is doomed and he is on the way OUT,Period.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom