Twitter to hand POTUS account to Biden on inauguration day

Mkuu majimbo yanaendelea KUSATIFY MATOKEO, Kama ana ushahidi aweke mezani, Trump is doomed and he is on the way OUT,Period.
Watu wanatoa allegations na FBI na DOJ wanatakiwa waingie mzigoni kuchunguza na Supreme court ku prove kwamba Trump hana ushahidi, that's how its works.Au maliberali mshasahu hata Mueller investigation commission iliundwa kuchunguza allegations?.
 
Trump mwehu tuu. Aende akacheze golf huko awaachie watu wenye busara waiongoze marekani.

Dunia itapata utulivu na ustaarabu utarejea maana tangu aingie 2016 kaharibu kila kitu.
 
Trump mwehu tuu. Aende akacheze golf huko awaachie watu wenye busara waiongoze marekani.

Dunia itapata utulivu na ustaarabu utarejea maana tangu aingie 2016 kaharibu kila kitu.
Busara IPI ? Ya kuwafungisha Homosexuals ndoa kwenye majengo ya serikali?
Au utuambie basi ni Busara IPI? Mbona hamtaji?
 
Watu wanatoa allegations na FBI na DOJ wanatakiwa waingie mzigoni kuchunguza na Supreme court ku prove kwamba Trump hana ushahidi, that's how its works.Au maliberali mshasahu hata Mueller investigation commission iliundwa kuchunguza allegations?.
FBI NA DOJ Wanaweza ingia tu kama kuna ushaidi, makosa madogo madogo hayakosekani lakini pia yana amount to very small percentage, 0.001 always, na FBI Walishamjibu Boss wao Barr hakuna shida, CISA Imeshamjibu Trump kuwa hakukuwa na Vote Fraud kama Trump anavyodai na huyu Mkuu wake ni mteule wa Trump.
Uchaguzi huu ni "THE MOST SECURED IN AMERICAN HISTORY"
Kwasababu toka siku nyingi kulikuwa na jitihada za mataifa mengi kuingilia,CHINA for Biden,Russia as usual na Iran pia, Hivyo INTEL Community ilijiandaa, wakati Trump anapambana kupinga matokeo CIA Walikuwa Wanajiandaa na kuandaa Crews wao kuhamia FLORIDA For Goods.
Hatimaye Transition imeanza stay tuned, Trump is OUT.
 
Back
Top Bottom