Twitter leo haifanyi kazi?

Twitter leo haifanyi kazi?

muro121

Member
Joined
Nov 24, 2016
Posts
62
Reaction score
50
Habari za asubuhi everybody ! Nauliza wale wanzangu namie wapenda habari. Nimeamka saubuhi twitter haifunguki je ninyie ipo hivyo kwenu!?

Na nini shida?
 
Twitter ifutwe tu Tanzania. Ni kijiwe cha wambeya, wazandiki, wapinga maendeleo, wazushi.
IMG_20210218_174254_207.jpg
 
Asanten walio nishauri kuchukua VPN imegunguka bana
 
Kaka wa taifa Kigogo anashusha nondo zenye madini makali sana.
wameshindwa kumgundua Kigogo alipo wakaamua kuifunga Twitter, mm tangu Uchaguzi wa oktoba 2020 sijaipata, kweli Inji hii tupo daraja lingine la uchumi wa kati
 
Back
Top Bottom