Twitter Account inauzwa bei ya Kutupwa

Twitter Account inauzwa bei ya Kutupwa

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,701
Reaction score
15,533
Twitter Account inauzwa ina 80,456 Followers kwa TSh. 1,300,000 tuu! Maongezi yapo wale watu wa Blogs na wanaopenda Twitter Account zenye watu wengi tuwasiliane....
 
du kw bei hiyo utakaa nayo milele bei ya kiwanja hio
 
M1 bei ya kutupa [emoji16][emoji16] aya bhana
 
M1 bei ya kutupa [emoji16][emoji16] aya bhana
 
mambo mengine ya kuiga sasa mnauza TWITTER,baadaye BITCOINS na CRYPTOCURRENCY , mara WEBSITE. Mnaanzisha viwanda ambavyo hamvijui kwa kuiga tu kitu unabaki nacho kama mke wako wa ndoa.sasa hiyo TWITTER account imeshakuwa mke utabaki nayo milele.Ungekuwa unauza kuku kipindi hiki ungepiga hela sana!!! TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA
 
Ma**ko kweli wewe unataja kabisa eti 1.3m fyuuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom