Twite atua yanga, mamia wamlaki, simba hawakuonekana

kweli kabisa! Alikuja Asamoah kwa mbwembwe ivyoivyo wakampokea Uwanja wa ndege ivyoivyo sa ivi yuko wapi?
 
Asilimia kubwa ya wachezaji wengi waliokuja simba na yanga kwa mbwembwe na migogoro waliondoka kimya kimya baada ya muda mfupi. Uwezo wake wa kuhimili presha za nje ya uwanja (kutokana na mazingira ya usajili wake) ndio vitakavyomwezesha kusurvive kwenye soka la bongo. Otherwise namtakia kila la heri ila ajue kuwa mashabiki wa bongo bana hawana uvumilivu ikibidi akamtafute asamoah,shikokoti au jama mba to mention the few.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom