TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,104 Jun 16, 2012 #21 Kichwa cha mwendawazimu bado msumbiji kudadadeki
PrN-kazi JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 2,900 Reaction score 445 Jun 16, 2012 #22 hawa ma-dada wametutia aibu, kufungwa nyumbani!!!!!!
L Lusaa JF-Expert Member Joined Sep 12, 2011 Posts 270 Reaction score 113 Jun 16, 2012 #23 Ndiyo maana mimi na timu za Tanzania hatuna uhusiano kabisa. Walivyokuwa wanaambiwa wanahitaji goli moja wakafikiri wameshinda tayari.
Ndiyo maana mimi na timu za Tanzania hatuna uhusiano kabisa. Walivyokuwa wanaambiwa wanahitaji goli moja wakafikiri wameshinda tayari.