Twiga Bancorp yaendelea kukopesha Bajaji na Pikipiki

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,802
34,193
MBILI.JPG

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Twiga Bancorp, Solomon Haule akimkabidhi funguo wa bajaji Mwenyekiti wa kikundi cha Chama cha Madereva wa Bajaji cha Mikocheni kwa Kairuki (Chamabavi) John Roberto baada ya kupewa mkopo huo wa bajaji.
Moja.JPG

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Twiga Bancorp, Solomon Haule akimpongeza Bi Shamsa saidi baada ya kukabidhi mkopo wa pikipiki.
Nne.JPG

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Twiga Bancorp, Solomon Haule akiwasha bajaji huku pembeni yake (aliekaa) ni Mwenyekiti wa kikundi cha Chama cha Madereva wa Bajaji cha Mikocheni kwa Kairuki (Chamabavi) John Roberto baada ya kupewa mkopo huo wa bajaji.
Saba.JPG

Bajaji zikiwa nje ya ofisi za Twiga Bancorp tawi la Mlimani City.
Sita.JPG


Mkuu wa Idara ya mikopo kwa wateja wadogodogo wa benki ya hiyo, Joseph Malatula Twiga Bancorp akizungumzia kuhusiana na maendeleo ya mikopo kwa wateja hao.
Tano.JPG

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Twiga Bancorp, Solomon Haule akimsaidia kuwasha bajaji mwanamama wa kikundi kati ya waliopata mkopo kutokea benki hiyo.

Twiga Bancorp yaendelea kukopesha Bajaji na Pikipiki
 
Tupeni taarifa zaidi kuhusu mkopo, thamani yake, masharti na marejesho tujipime kama tunaweza
 
Back
Top Bottom