Twiga albino waonekana Hifadhi ya Tarangire, Tanzania

Ni habari njema kwa katibu...siku si nyingi tutapata ugeni kutoka kwa mfalme na midege yake
 
Mleta uzi ..Twiga huyu si albino. Maelezo ya mtaalam haya hapa.
“Omo is leucistic, meaning many of the skin cells are incapable of making a pigment. Some are, so she is pale but not pure white, with red or blue eyes, as a true albino would be,”
Mtaalam huyu anasema '' Baadhi ya sehemu ya ngozi yake bado inauwezo wa kutengeneza ''pigment'' au rangi ya ngozi.
Kwa hiyo ha-''qualify'' kuitwa albino.''
Kwa hiyo..kumuita albino ni kosa,na pengine unayahatarisha maisha yake.
Rare white giraffe spotted in Tanzania could be 'target' for poachers
 
Mleta uzi ..Twiga huyu si albino. Maelezo ya mtaalam haya hapa.
“Omo is leucistic, meaning many of the skin cells are incapable of making a pigment. Some are, so she is pale but not pure white, with red or blue eyes, as a true albino would be,”
Mtaalam huyu anasema '' Baadhi ya sehemu ya ngozi yake inauwezo wa kutengeneza ''pigment'' au rangi ya ngozi.
Kwa hiyo ha-''qualify'' kuitwa albino.''
Kwa hiyo..kumuita albino ni kosa,na pengine unayahatarisha maisha yake.
Rare white giraffe spotted in Tanzania could be 'target' for poachers
Mkuu
Hii habari ipo mwananchi media, nimeileta hapa muijadili
 
Sasa wale askari wetu wa wanyama pori kule mbungani wanafanya nini? mpaka mzungu aje kumvumbua twiga huyo? wazungu wanapenda sana sifa,mlima Kilimanjaro na ziwa vicroria walivumbua wao sijui wasukuma na wachaga walikuwa wapi
Vitu vingine wanasingizia technology.

Lakini ukweli ni kuwa Hatuko curious na mazingira yetu.

Hadi mzungu atoke kwao aje achimbe hapo kujua historia yako.

Mwache mzungu wa watu. Usikute hao askari pori hawana hata camera.
 
kwa hiyo ina maana hakuna mtu aliwai kugundua hao twiga mpaka kaja mzungu????mbona haya ni matusi ya waziwazi
 
Wangemkabidhi pale lumbumba akipotea tuwadai hawachelewi kupanda ndege Hawa viumbe
 
Sasa wale askari wetu wa wanyama pori kule mbungani wanafanya nini? mpaka mzungu aje kumvumbua twiga huyo? wazungu wanapenda sana sifa,mlima Kilimanjaro na ziwa vicroria walivumbua wao sijui wasukuma na wachaga walikuwa wapi
Kutengeneza michembe na kunywa mbege aisee ya Marangu tamueee
 
Back
Top Bottom