Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Tatizo liko wapi? ndilo tatizo la mafundisho ya jando na unyago kwa makabila yetu! hawa hawajafundishwa hayo
Tuwekee mkuu tuionekuna picha ya mama mmoja wa kibongo yupo beach na mtoto wake wa kiume huku kavaa bikini na bra,sijui ni ushamba wangu au poa tu
mkuu siwezi itasambaa bureTuwekee mkuu tuione
Hawa wananafuu kunawale ambao huwa wanachojoa nguo zote kabisaaaa mbele ya kadamnasi