Twendeni tukakamate ajira Mtwara

Opaque

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2008
Posts
1,359
Reaction score
732
Kama wana Mtwara wanadhani viwanda vikijengwa huko itazuia watanzania wasioishi huko kupata ajira, basi wamegonga mwamba. Binafsi ninajiandaa kwenda huko kuchukua ajira kutokana na ujuzi na taaluma niliyo nayo, na kuna kundi lingine kubwa tu la vijana tunasubiri ujenzi wa viwanda uanze. Yaani ni kwamba tunakamata ajira kuanzia wakati wa ujenzi hadi uendeshaji wa viwanda. Vijana wahandisi na mafundi mchundo, wachakataji kemikali, wataalamu wa jiolojia na gesi, na mazao ya petrolium, twendeni tukakamate ajira Mtwara kwani vigezo vya ajira ni ujuzi na pengine uzoefu kidogo, wala wakati wa usaili hakuna atakayekuuliza unatokea wapi!
 

Daah! Inasikitisha sana maana hakika unawakilisha wengi wenye mawazo na upeo kma wako. Kma ttzo ni Elimu naomba umtafute mtoto wa form 3 au 4 akueleze faida inayopata jamii iliyokaribu na kwnda/vwnda( apart frm what u have in ur head)
 
Upeo mdogo wa kiakili ,na namna mbovu ya kufikiri.
Imekaa zaidi kimapasho
 
hivyo ukafanya kazi mtwara halafu ujenge kwenu kahangara?
 

Dah,Wewe boss unawaza nini?Kiwanda kikiwa kwako kuna faida nyingi/kina boost mambo mengi,.Soko la bidhaa za kilimo kule mtwara litakua zuri,hata samaki nchanga watauzika kwa bei nzuri,kampuni itasaidia mambo mengi ya kijamii eneo lile,miundominu mbali mbali itaboreshwa kwa haraka maana kunahoja ya msingi kwa serikali kutoa kipaumbele ktk hilo,sehemu husika ikathaminika zaidi,na itakua kivutio kwa watu kuishi maana ni rahisi kupata chochote kitu mkono kwenda kinywani.Kuna kunufaika direct na indirect:Wana mtwara komaeni na malighafi za eneo lenu ziwakomboe:

Kwa taarifa yako ule mlima Kilimanjaro mafisadi wa Dar wanatamani ungekua upo Dar es salaam,na wangeuuza wote,wangeanza na kuuza miti,mawe,na vyote vilivyomo na kungekua tambarare usawa wa bahari.
 

Dah,Wewe boss unawaza nini?Kiwanda kikiwa kwako kuna faida nyingi/kina boost mambo mengi,.Soko la bidhaa za kilimo kule mtwara litakua zuri,hata samaki nchanga watauzika kwa bei nzuri,kampuni itasaidia mambo mengi ya kijamii eneo lile,miundominu mbali mbali itaboreshwa kwa haraka maana kunahoja ya msingi kwa serikali kutoa kipaumbele ktk eneo hilo,sehemu husika ikathaminika zaidi,na itakua kivutio kwa watu kuishi maana ni rahisi kupata chochote kitu mkono kwenda kinywani.Kuna kunufaika direct na indirect:Wana mtwara komaeni na malighafi za eneo lenu ziwakomboe:

Kwa taarifa yako ule mlima Kilimanjaro mafisadi wa Dar wanatamani ungekua upo Dar es salaam,na wangeuuza wote,wangeanza na kuuza miti,mawe,na vyote vilivyomo na kungekua tambarare usawa wa bahari.
 
think outside the box ondoa chuki hapa tunataka
mamantilie atauza
mangi mwenye kioski atauza
wabeba mizigo watapata kidogo
wafagiaji watapata fedha kidogo
madereva watapata kiajira.
walamba viatu nao watapata
wauza sigara ,maji ya viroba ,lambalamba,bublisi etc
 
hivi na kile kiwanda cha sukari kilichojengwa huko kishaanza uzalishaji?
 
Ulisikia wapi wana Mtwara wakiwakataza Watanzania wenzao kwenda kufanya kazi kwao?
 
Mi nikifika huko ni kugegeda kwenda mbele. Nitagegeda hadi tubibi, hamna adabu nyie. Mke wa BIG JII sijui BIGI SHOO lazima nimgegede
 
njoo urudi maiti.................

Mna mikwara ya karne ya 13. Kuna kipindi fulani mlijiapiza kwamba kuna kabibi kenu kana ubavu wa kugeuza gesi iwe maji, tukawasikiliza tu mkajiona mna akiiiili, kumbe upumbavu kama huo uliua wenzenu Rufiji hapo zamani wakiamini risasi zitageuka maji.

We tulia walume tutie mguu, sisi ndio tutawasaidia kustaarabika. Tumeshaibadilisha Bagamoyo, sasa Mikindani. Una mke?
 
kitu janga la taifa , wewe unafanya joke. hiyo ndio akili yakooo au umekusudia joke???
 
nyie ndio akina nani??? hebu jieke waziii ili tukupate vizuri. hujasomeka ujue
 
njoo urudi maiti.................

We Erwin acha mkwara!kwani utapata ajira zote kwa wakati mmoja?au degree yako ya Uhindin ndo inakupa kiburi..fursa ni kwa wote,si wana Mtwara tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…