ANKOJEI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 995
- 749
Kutakuwa na matembezi ya elimu kwa ajili ya kujifunza ufugaj1 wa kisasa wa Sungura na kuku maeneo ya Arusha mjini na nje ya mji kidogo ili kujifunza yafuatayo. Siku ni Jumamosi au Jumapili yan kati ya tarehe 26 na 26
1. Ufugaji wa sungura katika eno dogo
2. Solo la ndani la nyama ya sungura, soko la nje Ulaya na Kenya
3. Ulishaji wa kuku kwa njia ya hdroponic (majani ya shairi)
4. Utagaji wa kila siku wa mayai
Ukiwa utakuwa tayari kujiunga nasi tuma neno 'TWENDE ZIZINI' kwenda +255 752 693 692. Wahi nafasi ni chache.
ANKOJEI
Mkulima Mjasiriamali
Arusha Tanzania.
UPDATES FOLLOWS