donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
natumia neno kucause mass destruction,
no physical attraction but my mind is beauty,
am literary speaking so its a code now decipher,
I decapitate weak MCs u'd say am Lucifer......
We unashangaa hongo kwenye kila kizingiti
Wenzio tunalipa ushuru mpaka kwenye kibiriti
Na uchumi ni wa kisoro wala haufikiriki
Ufisadi uchi wa mnyama ambao hausitiriki
We unavaa laki, me na dress buku
Sijanyoa kijogoo so sina face kuku
Chochote post hata matusi sio kesi huku
Wale watoto wenzangu tukutane facebook
Motra the future
We unashangaa hongo kwenye kila kizingiti
Wenzio tunalipa ushuru mpaka kwenye kibiriti
Na uchumi ni wa kisoro wala haufikiriki
Ufisadi uchi wa mnyama ambao hausitiriki
We unavaa laki, me na dress buku
Sijanyoa kijogoo so sina face kuku
Chochote post hata matusi sio kesi huku
Wale watoto wenzangu tukutane facebook
Motra the future
Fanyeni mitindo huru, acheni na Accapela/
Mi ndo nasongesha duru, na hii ni just trela/
Mola namshukuru, kurap sijawahi mbwela/
Fake MCs nawafuturu, i hate them kama mamwela/
nimekuelewa mkuu
Asante kwa kunielewa hiki kipaji sio ngekewa/
Mwenye thread mbona simwoni, au ban kapewa?/
Siku nikifungua kanisa fake mcs watakemewa/
Mistari zao zinatia hasira kama demu ukimegewa/
mwenye thread nimerejea ili moto kuuchochea,
I drop harder till wanakosa chakuongea,
life liko tight vile inaniongezea hasira,
hizi lines internationale kama tv ya Al-Jazeera
Al-Jazeera we cha mtoto' mi na moto wa CNN/
Niite kende kiparangoto' naandika verse bila peni/
Toka nianze std one' sijawahi toka top ten/
Sasa nashika usukani' kwenye hii hiphop fani/
Bongo team kibao, cjui kocha ni nani
Napiga chenga kisha bao, me sinaga utani
niki flow wana keep quit, coz me ni big papa,
ganja ni daily diet, Jah bless me ni Rasta
Bongo team kibao, cjui kocha ni nani
Napiga chenga kisha bao, me sinaga utani
niki flow wana keep quit, coz me ni big papa,
ganja ni daily diet, Jah bless me ni Rasta