Shem wangu usiwe na wasiwasi nitakulipia kwa sababu siku hiyo tutalala huko!![emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekuja mbio nilidhani safari imeishalipiwa mweeh
Wanawake mkiwezeshwa mnaweza!Nimekuja mbio nilidhani safari imeishalipiwa mweeh
Ndio zamu ya MANIFONGO?Shem wangu usiwe na wasiwasi nitakulipia kwa sababu siku hiyo tutalala huko!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio zamu ya MANIFONGO?Shem wangu usiwe na wasiwasi nitakulipia kwa sababu siku hiyo tutalala huko!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maswali mazuri.Tunatumia usafiri gani kwenda huko? Ndege au gari? Je masuala ya chakula na malazi inakuwaje?
Usafiri ni coaster na gharama hiyo imejumuhisha nauli ya kwenda na kurudi, kiingilio cha mbugani, lodge na gharama ya mwongozaji (guide) karibuni kufanya booking.Tunatumia usafiri gani kwenda huko? Ndege au gari? Je masuala ya chakula na malazi inakuwaje?
Chakula??? Mbona umekisahau kwenye jibu lako la msingiUsafiri ni coaster na gharama hiyo imejumuhisha nauli ya kwenda na kurudi, kiingilio cha mbugani, lodge na gharama ya mwongozaji (guide) karibuni kufanya booking.
Mkuu, hebu weka vizuri hizo pesa zinagharimia vitu ganiTusafiri Pamoja kutembelea hifadhi ya taifa ya #ngorongoro_crater tarehe 27/12/2016 na kurudi tarehe 29/12/2016 kwa gharama ya 190,000 tu. Mwisho wa kufanya booking ni tarehe 20/12/2016. Safari ita anzia ubungo, Dar es salaaam
Lets travel to #ngorongoro_crater for only 190,000/Person, Call us today for booking.
T1:0672514440
T2:0763553888
E-mail: safaripamoja@gmail.com
Facebok.com @Safaripamojatours
Instagram @Safaripamoja
View attachment 414722
AsanteUsafiri ni coaster na gharama hiyo imejumuhisha nauli ya kwenda na kurudi, kiingilio cha mbugani, lodge na gharama ya mwongozaji (guide) karibuni kufanya booking.
Ushalipiwa![emoji1]mmmh! Mbona bei chee hivyo??
Hapo pagumu. huwezi kupata mchanganuo.Mkuu, hebu weka vizuri hizo pesa zinagharimia vitu gani
Naona kapotezea kiaina anashindwa kuuweka huo mchanganuo. Tumsuburi labda atafungukaHapo pagumu. huwezi kupata mchanganuo.
Ushalipiwa![emoji1]
Samahanini siwezi kujibu maswali yasiyo na tija. Unauliza mbona bei chee, unategemea ujibiwaje? Au mbona chakula umesahau! Sasa kwanini sija sahau nlivyoviweka ukiona hakijawekwa means hakipo kwenye huduma. By the way tuna nafasi 8 tu.Naona kapotezea kiaina anashindwa kuuweka huo mchanganuo. Tumsuburi labda atafunguka