Tweets nyingine bana

Tweets nyingine bana

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,224
Reaction score
829,236
3b7007cc2870c62d21ca3f70af223f7e.jpg
 
Aisee nimecheka sana. Jamaa anasikia maumivu ya kichwa miguuni! Sijapataga kusiakiaga wala kuonaga.
 
Haahaha! Hicho kikatuni kikasema "THIS POST GIVE ME A HEART ATTACK IN MY STOMACH
 
Be like a bro na aunty acid ni zaid ya matatizo linapokuja swala la quotation
 
Labda anamaanisha kile kichwa kidogo kilicho katikati ya mguu kina homa..............(homa ya dunia).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom