Nahisi Mabala au Lubasha ndio walianzisha hii Hashtag ikiwa na lengo la kuonyesha jinsi gani Polepole ana tweet vitu vya ajabu alafu kila jambo lazima aseme kua CCM mpya na Tanzania mpya.

nimepishana na gari limebeba zile mil 50 za kila kijiji linakuja kijijini kwetu hapa nilipo nageuza baiskeli yangu nami nikachukue mgao wangu, asante ccm mpya tanzania ya vi-wonder