Twaweza wanavyocheza na akili za Watanzania

monde arabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
8,888
Reaction score
13,645
Habar za leo wanabodi,
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja;
Limejuwa ni jambo la kawaida kufanyika kwa Research mbalimbli Duniani zinazohusu masuala ya uchumi,afya,tamaduni za watu na hata hali ya hewa...hili ni jambo jema sana kwa kuwa Research ndyo kiini cha mwendelezo wa taarifa mbalimbali kwa vizazi vilivyopo na vijavyo

Wakati mwingine hizi research units (taasisi zinazohusika na research) huweza kupoteza credibility endapo zitawekwa kwenye mifuko ya wanasiasa,sote tunafahamu mwaka 2015 siku chache kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 hawa 'TWAWEZA' walikuja na research mshenzi wakidai kuwa Magufuli anakubalika kuliko wagombea wote,lengo lilikuwa ni kwamba idara zote za usalama (police,mahakama,jeshi na hata tume ya uchaguzi) walikuwa tayari wameshaandaa mchezo na hawa Twaweza kwa kupika research inayoonyesha kuwa mgombea fulani anakubalika kuliko wagombea wengine,lengo hasa ikiwa ni kuwaandaa Watanzania mentally kuamini kuwa Yohana anakubalika kuliko wagombea wengine
Pili,research ilipikwa maalum ikitokea wamechakachua matokeo ya uchaguzi basi research ya Twaweza ikiwe ni kichaka cha kukimbilia "huu uchaguzi ulikuwa wa huru na haki si mnaona hata Twaweza walifanya utafiti na ukaonyeaha kuwa mgombea wetu anakubalika"

Maandalizi ya kuchakachua matokeo ya 2020 ndyo yameanza kwa kuwa kuwashirikisha Twaweza;

PICHA IPO HIVI
Leo Twaweza wamefanya research ya hovyo kwa kuwaandaa Watanzania mentally kwa kutengeneza research inayoonyesha kuwa umaarufu wa Magufuli umeshuka na wakajitahdi kuainisha sababu za kushuka kwa huo umaarufu wake (hii ni very calculated movie ambayo ninauhakika master mind wa mchezo huu ni Mkuu wa kaya na Bash baby from Kolomije land)
Siku chache kabla ya uchaguzi watakuja na research nyingine inayoonyesha kuwa Mkuu wa kaya anakubalika kwa 100% na umaarufu wake umapanda kwa 100% kutokana na kujirekebisha tangu walipotoa research yao ya mwanzo (ambayo imetoka mwaka huu) so,watu wakionekana kulalamika wataambiwa "mbona tulipotoa research ya mwanzo kuonyesha kuwa umaarufu wake umeshuka na hakubaliki mbona mliiamini hiyo research?"

Nasema kuwa research zote za Twaweza ni za kupika kuwa hazionyeshi official research procedures kama vile research title,sample and sampling procedures,research methodology, pia research za Twaweza hazionyeshi scope and delimitation of research (accomplish a research task within a given specific period of time with the available resources)
*CCM inategemea wajinga waliopo kuendelea kuishi!
 
Mm hadi kesho si amini research za kitanzania wakiwemo hao mnaowaita WAWEZA kwa sababu zifuatazo.
1:research nyingi zimekaa kinadharia zaidi kuliko vitendo.
2:hakuna pesa ya kufanyia research kwasababu research yataka pesa ndo mana zinaangukia no1 hapo juu
 
Nashukuru umenielewa!
 
Yaani ulivyofikiri katka hii thread yako, ndio itatokea hivyo hivyo, tatizo mpaka 2020 wabongo tutakuwa tumeshasahau zamaaani, huku tukiendeleza msemo wa tugange yajayo
 
Nashukur Mkuu,umenielewa!
 
Habar za leo wanabodi,
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja;
Limejuwa ni jambo la kawaida kufanyika kwa Research mbalimbli Duniani zinazohusu masuala ya uchumi,afya,tamaduni za watu na hata hali ya hewa...hili ni jambo jema sana kwa kuwa Research ndyo kiini cha mwendelezo wa taarifa mbalimbali kwa vizazi vilivyopo na vijavyo

Wakati mwingine hizi research units (taasisi zinazohusika na research) huweza kupoteza credibility endapo zitawekwa kwenye mifuko ya wanasiasa,sote tunafahamu mwaka 2015 siku chache kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 hawa 'TWAWEZA' walikuja na research mshenzi wakidai kuwa Magufuli anakubalika kuliko wagombea wote,lengo lilikuwa ni kwamba idara zote za usalama (police,mahakama,jeshi na hata tume ya uchaguzi) walikuwa tayari wameshaandaa mchezo na hawa Twaweza kwa kupika research inayoonyesha kuwa mgombea fulani anakubalika kuliko wagombea wengine,lengo hasa ikiwa ni kuwaandaa Watanzania mentally kuamini kuwa Yohana anakubalika kuliko wagombea wengine
Pili,research ilipikwa maalum ikitokea wamechakachua matokeo ya uchaguzi basi research ya Twaweza ikiwe ni kichaka cha kukimbilia "huu uchaguzi ulikuwa wa huru na haki si mnaona hata Twaweza walifanya utafiti na ukaonyeaha kuwa mgombea wetu anakubalika"

Maandalizi ya kuchakachua matokeo ya 2020 ndyo yameanza kwa kuwa kuwashirikisha Twaweza;

PICHA IPO HIVI
Leo Twaweza wamefanya research ya hovyo kwa kuwaandaa Watanzania mentally kwa kutengeneza research inayoonyesha kuwa umaarufu wa Magufuli umeshuka na wakajitahdi kuainisha sababu za kushuka kwa huo umaarufu wake (hii ni very calculated movie ambayo ninauhakika master mind wa mchezo huu ni Mkuu wa kaya na Bash baby from Kolomije land)
Siku chache kabla ya uchaguzi watakuja na research nyingine inayoonyesha kuwa Mkuu wa kaya anakubalika kwa 100% na umaarufu wake umapanda kwa 100% kutokana na kujirekebisha tangu walipotoa research yao ya mwanzo (ambayo imetoka mwaka huu) so,watu wakionekana kulalamika wataambiwa "mbona tulipotoa research ya mwanzo kuonyesha kuwa umaarufu wake umeshuka na hakubaliki mbona mliiamini hiyo research?"

Nasema kuwa research zote za Twaweza ni za kupika kuwa hazionyeshi official research procedures kama vile research title,sample and sampling procedures,research methodology, pia research za Twaweza hazionyeshi scope and delimitation of research (accomplish a research task within a given specific period of time with the available resources)
*CCM inategemea wajinga waliopo kuendelea kuishi!
Kwani nawewe ni mwanae Mzee wetu Shekhe Yahaya au Mkeka/Kubeti kumefanya uwe mtabiri mpaka kwenye medani za siasa? Punguza kuharibu fani za watu.
 
Mkuu,mm sifanyi kubashiri but I am just making this issue known to everybody... On the other side of a coin it's truely prophecy!
 
Back
Top Bottom