Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,658
Sasa kuna uwiano gani wakati ni chama kimoja tu
Upinzani kushinda 2015 ni ndoto.......na ni kitu ambacho hakiwezekani hata kwa dawa...........Sasa kuna uwiano gani wakati ni chama kimoja tu
Mkuu sibishani na wewe.........na nimefurai kama umetambua Lowassa ni the best kuliko wote ndani ya CCM.........tuombe Mungu tukutane mwakani kati ya Lowassa na Dr.Slaa........ingawa at the end Lowassa atashinda kwa kishindo kwani kuna kundi kubwa lililoko Chadema linalomkubali jembe Lowassa....Unapiga gitali na kucheza mwenyewe, jidanganye, huku mtaani ni Dr.slaa uliza hata mtoto mdogo.Kashfa hizi lowassa atakuwa na kazi kusafisha chama japo yeye anauzika zaidi ya makajanja wengine wa ccm,lowassa ni mzuri among the worst.
Hahahahahaha kila siku siyo jumapili kaka, urais wa 2005 Jk alijipanga, 2015 yule aliyejipanga ndiyo atashinda urais.........Dont think kwamba kwa kuwa Ben alipata zali basi 2015 kuna atakayepata zali ni kitu kisichowezekana katika nyakati hizi....Mumdhaniye ndiye siye!
Huu si utafiti na aliyepika hizo takwimu hajajipanga! Na amefanya MAKOSA YA HALI YA JUU SANA.
Na kwa haraka haraka nitaonyesha makosa ya KUPIKA DATA hizi especially KOSA LA KIMAHESABU.
----------------------------
Katika majumuisho ya ASILIMIA ni LAZIMA zifike MIA yaani ASILI YA MIA.
Lakini ukijumlisha asilimia zilizotolewa na OCAMPO FOUR kiasilimia HAZIFIKI MIA....Zinaishia 96.4%..... sasa hiyo tofauti ya 03.6% imeenda wapi ?
Hata ukijumlisha idadi ya hao watu haifiki 60. Inaishia 59!
Sasa huyo 1 ameenda wapi?!........
Hata ukichukua idadi ya waliyomsapoti LOWASA 42 ukaiweka chini ya 60 ukazidisha kwa 100 unapata 70%. Na hata ukichukuwa 42 chini ya 59 utapata 71.19% sasa hiyo 68.8% aliyoipata LOWASA imetoka wapi?!...
Pia kwenye data interpretation ukishakosea figure tu basi interpretation HAIWEZI kuwa sasa...
Utafiti fake hupelekea kupika data,data hukosa usahihi na hivyo interpretation haiwezi kuwa sahihi nakupelekea utafiti usiwe sahihi.
Naomba niishie hapa......
Hizi data ni zakupika tu.
------------------.
specialist88
BACK TO TANGANYIKA..
UKAWA TUMAINI 2015.
Unaongea kama mwanamke mpumbavu (mke wa Ayubu katika Biblia).....Poor ----ing Tanzanians.Shame on you.Samahani kwa kutumia maneno makali kidogo lakini ni katika kufikisha hisia zangu pia.Ni aibu kuona tunaendelea kumfikiria mamvi kwenye nafasi nyeti ya urais na hali twajua kashfa iliyomtoa kwenye nafasi ya uwaziri mkuu.Tubadilike na kujitaidi kuwachagua viongozi safi wasio na kashfa zinazoigharimu taifa
we mjinga kweli kweli yani kuhoji watu 60 kati ya 150 unashangaa........kwa taarifa yako katika huo utafiti wamepitiliza hata sample size..........mburula kweli au ujasoma maelezo hapo juuIyo sample size nimechoka!
Mbona mikoa mingi uliyotaja haina hata mbunge mmoja wa upinzani?
Tafiti hupingwa na tafiti,let's yako sasa
Mnapo ongea hayo wanaccm wenzangu kumbukeni nchi sasa ipo kwenye mfumo wa vyama vingi, je akipita Membe hamtakuwa tayari kumuunga mkono na mtaunga mkono uinzani ?Pata picha watu wa WAMA watakuwa katika hali gani kwa sasa? kumpa Membe hii nchi ni sawa sawa na kuitupa hii nchi......Pinda ndiyo atakuwa analia lia kila siku Ikulu.........Nyerere alisema Ikulu siyo sehemu ya Kulia lia hata kidogo
We unajua mambo ya statistical significance, mambo ya interval error, na katika rounding up kama hiyo 68.8 ukiround up unapata ngapi........una akili ndogo sana rudi shule na kupitia kitabu cha Kothari.......
Hasira zipo humu JF!! Angalia matokeo ya kalenga na chalinze!!
Wengi wenye hasira na serikali hawapigi kura,
Kama huamini angalia matokeo ya serikali za mitaa
Wanalipwa na nani kufanya tafiti hizi? Watuache hatuhitaji tena upuuzi kama wa Synovet.
Namuheshimu sana Rakesh lakini huku sasa anataka kujivunjia heshima yake bure, watu wana hasira halafu leo utuambie eti Ccm inapendwa kwa 54% this is totaly stupidity.
ocampo four,
Nasikia hata Mtumishi wa Mungu, Nabii TB JOSHUA, naye alishamtabilia kuwa yeye ENL, atakuwa Rais wa 5 wa Tanzania!