Hii ndiyo Tanzania ambayo upumbavu umekuwa ni werevu.
Kuna baadhi ya watu walikuwa wanaitetea Twaweza wakati ule ilipotoa research ambayo ilionyesha Lowassa anaongoza. Leo wamekuwa mbele katika kuupinga utafiti kwa sababu mtu wao ameshuka kisiasa.
A week is a long time in politics!
Explain this picture also
Spendi hata kuwaskia nie watu
Imeelezewa sana na watu tofauti humu ila umeamua kutokuelewa, kichwa chako kina UJINGA na bahati mbaya ni mzigo wako, hamna wa kukusaidia kukibeba.Wamejiuma uma maswali ya msingi hawajajibu.Kwa nini waliiweka Ukawa kwenye poll.Kwa nini walihonga simu.Kwa nini wanajitetea sana.Mahusiano ya kikada kati ya huyo nani sijui na Makamba
Kwanini wanalazisha tukubali maoni ya sample 1800 ilhali maoni ya watu lakitatu yalikataliwa?
Watujibu na hilo then tusonge mbele.
Majibu yote yapo kwenye report yao,usiwe mvivu wa kusoma.
Utafiti wa TWAWEZA umefanywa mpaka tarehe 8/09, kampeni zimeanza tarehe 23/08, hivyo usidanganywe kuwa kampeni hazikuwa zimeanza.
Leo umetoka utafiti wa SYNOVATE ambao wenyewe umefanyika tarehe 4/9 mpaka tarehe 22/09, matokeo yake ni bado Magufuli 62% na Lowassa 31%.
Uko sahihi kabisa, lakini ingekuwa busara zaidi kama ungejibu hoja ya "kwa nini maoni ya watu 300,000 (laki tatu) yalikataliwa?" na bado layman anatakiwa aamini maoni ya watu 1800?Umejibiwa kitaratibu za tafiti bado unabisha, yaani lengo lenu ni ziwe upande wa Loassa tu basi. Habari ndo hiyo Magifuli mdogo mdogo anapiga pushap anainuka anatrot kuelekea ikulu, anapiga pushap anainuka anatrot anaelekea ikulu!
Acheni kutumia tafiti za eti NYOMI ile hatari.
Umejibiwa kitaratibu za tafiti bado unabisha, yaani lengo lenu ni ziwe upande wa Loassa tu basi. Habari ndo hiyo Magifuli mdogo mdogo anapiga pushap anainuka anatrot kuelekea ikulu, anapiga pushap anainuka anatrot anaelekea ikulu!
Acheni kutumia tafiti za eti NYOMI ile hatari.