Twanga pepeta mnachokifanya sio fear kabisa mkiwa Dar mnaaza kuimba kuazia saa moja mkiwa mikoani mnaaza kupiga mziki saa saba usiku amfanyi fear kwa hilo niko mwanza villa park mpaka saizi amjaaza kupiga wateja wanalala mika wanalaumu kiingilio chenu elf 10000 sio vizuri namna hiyo huo uzurumati