TVS vs BOXER BAJAJ ipi mashine ya ukweli zaidi

Gooodwin

Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
78
Reaction score
66
Wadau naombeni ushauri ntaka kununua pikipiki kwa ajili ya matembezi huku porini. Kati ya boxer au TVS japokuwa nasikia kwenye matope zote zinasumbua. Natanguliza shukrani za dhati kwa ushauri wenu. Have a nice day!
 
Napita lakin ila honda ndio mashine ya vijijini kwa shughuli Zote
 
IMG_20160824_110745.jpg

Hii piki piki ina kiti kireeefu kama benchi la muuza kahawa. Unaweza ukapakia familia yako yote hapa... Sema tu itabidi ubadili tairi uweke zile zenye kashata...
 
Nimetumia boxer na tvs...
Boxer ni nzuri lakini kama ni mtu wa kukimbia sana chukua tvs maana inatulia chini hata kama hauna mzigo... Boxer ukigusa 65, 70 inakua haina balance kama tvs. Hata ulaji mafuta tvs iko poa zaidi, fundi wangu alinambia tvs yalikua masahihisho ya mhindi kwa makosa aliyofanya kwnye boxer (ila angalia mkoa uliopo kuhusu spare parts)
 
Sawa mkuu, nashukuru kwa mchanganuo wa kitaalam na kiufundi.
 
TVS STAR HLX X150/5GEARS,NI BORA SANA,MBIO NI KAMA GARI,UNASKIA IKIONYA KASAUTI TIII,TIII.
 
Back
Top Bottom