TVE Hivi wana tatizo na WCB.

Mnafiki na mchonganishi mkubwa leo tu nimeona wcb mara mbili au unataka kipindi kizima? Fungua yako uwarushe 24/7 nyambafu who is wcb?, Wee mkubwa fela nini mnajiona wafalme wa Bongo flava? Kampangie mkeo sio biashara za watu
Acha Us*nge uende Mbinguni. Mapovu ya nini hiki kituo hakipigi kabisa nyimbo za WCB hata leo hawajapiga
 
Na wakikusikia tu wakaanza nasi tutadai za watengwa zipigwe maana haki sawa., nmskie chindoo makala,yuzo, das knowledge na kilinge cha kijenge on air kwan iko nn
 
huu nao ni ujinga mkumbwa kuanza kuwagombanisha wasanii na vituo vya radio kwa manufaa yenu.... Nyimbo kutokuwepo top 30 ndio ugomvi? hivi ni nyimbo ya kila msanii hapa Tanzania ipo kwenye hiyo top 30.
Ushabiki wa kijinga na kuchonganisha watu hauna maana na wala haujengi kamwe...
Mimi hiyo Tv na angalia sana haiwezi pita siku nyimbo za WCB hazijapigwa...yani nyimbo kutokuwepo Top 30 ndio uwe ni ugomvi? Mnapowagombanisha wasanii na vituo vya burudani mkae mkijua wanashindwa ni wasanii maana wenye vituo hawana la kupoteza...
Acheni tabia za kitoto.
Nlichokiongea namaanisha na huo ndio ukweli. Lakini ukweli utabaki pale WCB wananyimbo zaidi ya moja znazopaswa kuwepo top 30 ukweli acha usemwe binti
 
Kwan lazma msmpangie cha kufanya.. Tv ni yake, kodi analipa peke ake mumuwachee afanye anavyotaka yeye nae ni dereva atak kuckia maneno ya abiria
 
Sio kweli, yaani video za Diamond , Harmonize , Rayvany, na wasafi wote zinapigwa balaa .

Kuna watu mmekalia kuchonganisha ,hata etv mlisema hawapigi nyimbo wasafi wakati video zinachezwa kama kawaida
 
Sio kweli, yaani video za Diamond , Harmonize , Rayvany, na wasafi wote zinapigwa balaa .

Kuna watu mmekalia kuchonganisha ,hata etv mlisema hawapigi nyimbo wasafi wakati video zinachezwa kama kawaida
mashabiki wa aina hii ndio husababisha malumbano kati ya wasanii na vituo vya radio na wajua fika kabisa wasanii wao hawawezi kushinda
 
Ni tv yake...Hakuna kupangiana video za kucheza....Kama mtaji ametafuta mwenyewe...WCB wafungue/waanzishe ya kwao....

Jamaa wako VIZURI kwenye mpangilio wao...
 
Hao jamaa wa efm na etv mwanzoni niliona ni watu wa maana ila kumbe ni wapumbavu sana. Wanapenda makundi vita zisizo na kichwa wala miguu watawekeza sana ila hawatatoboa.
afrika acha iendelee kuitwa bara giza kwa komenti hii
 
Hakuna tatizo. Kiongozi wao Diamond si alisema mitandao ya kijamii ndio inatosha kutangaza kazi zao!? Zitachezwa huko huko mitandaoni. Au alijiangalia yeye mwenyewe akawasahau wasanii Wa label yake!? Kweli sikio halizidi kichwa.
 
Wabongo kwa kugeuza kauli hamjambo na ww umekaa chini kabisa uka umiza vdole kuandika izo pumba
 
Jifunze kwanza kuandika vizuri, sawa!? Kama umeona nilichoandika ni pumba bila shaka wewe ni mmoja kati ya mifugo ilayo pumba. Naotea wewe utakuwa kuku. Usisahau kumwambia bosi wako Wa wcb kuwa asitukane mamba na mto hajavuka.
Wabongo kwa kugeuza kauli hamjambo na ww umekaa chini kabisa uka umiza vdole kuandika izo pumba
 
Akili umejaa mucous so sizani kama unaweza uka reason vzr
Nadhan hujamwelewa mwaFreeca wewe ndio naona huwezi reason kabisa inaonekana ukiangalia hicho kpind cha TVE unaegemea upande mmoja industry ni kubwa majaji ni wengi and all in all uliwapigia kura wale unaowatetea au we Bendera fuata upepo
 
Jifunze kwanza kuandika vizuri, sawa!? Kama umeona nilichoandika ni pumba bila shaka wewe ni mmoja kati ya mifugo ilayo pumba. Naotea wewe utakuwa kuku. Usisahau kumwambia bosi wako Wa wcb kuwa asitukane mamba na mto hajavuka.
Unafaa kupuzwa kilaza ww....
 
Back
Top Bottom