Tv za star x zipo vizuri sana

Tv za star x zipo vizuri sana

Kwenye Tvs Star X sio kitu. Ni kama katika pikipiki wenzio wanataja Honda, Yamaha, Bmw ww unataja Toyo. Hivi utajiona mzima kweli???

Tv nzuri ni zile zinazotengenezwa na makampuni makubwa ya Electronics Eg. Lg, Sony, Samsung, Philips, Panasonic, Nk.

Pia TV zina technology hasa upande wa resolution, Display Technology, Input and Output Medias.

Sasa iyo Star X hata Optical port haina. Wala HDMI Out haina. Sasa kama unataka kukonect na home thieter unafanyaje???

Kwa mtu ambae hajui technology ataona poa tu ilimradi inaonesha bora liende
Eti yeye anataja toyo au sanlg kabisa
 
Naungana na we zipo viziri sana izo TV za star x sema watu wameshakariri brand kubwakubwa za lg,Sony na sumsung ambazo copy/ feki za TV zenye brand kubwa ni nyingi
 
Naungama na mtoa mada, star x zipo vzr nimenunua 2016 mpk leo ijawai sumbua na wtt watundu balaa
 
star x zipo vzr nimenunua 2016
Zipo vizuri kwa kigezo kipi?

Jenga hoja kwa kutumia vigezo kama huyu mchangiaji alivyotoa vigezo
Kwenye Tvs Star X sio kitu. Ni kama katika pikipiki wenzio wanataja Honda, Yamaha, Bmw ww unataja Toyo. Hivi utajiona mzima kweli???

Tv nzuri ni zile zinazotengenezwa na makampuni makubwa ya Electronics Eg. Lg, Sony, Samsung, Philips, Panasonic, Nk.

Pia TV zina technology hasa upande wa resolution, Display Technology, Input and Output Medias.

Sasa iyo Star X hata Optical port haina. Wala HDMI Out haina. Sasa kama unataka kukonect na home thieter unafanyaje???

Kwa mtu ambae hajui technology ataona poa tu ilimradi inaonesha bora liende
 
Hizo TV zipo kwa ajili ya watu wenye kipato kama changu, hapa Nina katecno kangu Vs Star X
 
Umetoka kwenye chogo, hujakamata kitu cha sony au samsung. Tv janja.
 
Tv ya ovyo sana Star x,tena hasa ukiharibika spare ni ghali kuliko tv yenyewe.Hata Display ni mbovu sana.Unaweza sema Star x ni nzuri endapo tu hauzijui tv nyingine.
 
Kwa upande wa t.v. LG wako vizur sana, kampuni zingine ni Sony, Samsung. ..hapa ndio kuna viwango !!
 
dah, utakua fanatic wa tekno wewe,

nadhani ingekua lg, ungeposti picha 50
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom