jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 4,482
- 11,501
Hahahaha hujatumia ZEC wewe
Nilipita mtaa mmoja nikakutana na tv ya Tecno nilishangaa sana.Hizo TV zipo kwa ajili ya watu wenye kipato kama changu, hapa Nina katecno kangu Vs Star X
Nilipita mtaa mmoja nikakutana na tv ya Tecno nilishangaa sana.
Star x ni cheap na zinadumu mkuu mi mwaka wa pili huu haina hata dot kwenye kiooIla bora kununua TV cheap ili hata ikiharibika huumii sana
HahahaahhaNaungana na we zipo viziri sana izo TV za star x sema watu wameshakariri brand kubwakubwa za lg,Sony na sumsung ambazo copy/ feki za TV zenye brand kubwa ni nyingi
WoyoooNaungama na mtoa mada, star x zipo vzr nimenunua 2016 mpk leo ijawai sumbua na wtt watundu balaa
Hana takatakaWe unayo