Umetia kadi ya kampuni gani ndani ya hiyo built in decoder Tv?Habarini wanajamvi!
Samahanini nina tatizo au shida kidogo imenitokea hapa!
Juzi nilinunua TV (Samsung flat screen) wakaniambia ina king'amuzi ndani na wakaitest palepale na kweli channel nyingi tuu zikaonyesha!
Sasa nimefika huku mpaka sasa nahangaika tuu channel zipo lakin hazionyeshi! Nimemuita fundi nae ameshinda hapa toka asubuhi anatengeneza lakini hakuna mabadiliko!
Naombeni msaada wenu, shida itakua nini? Maana nimeweka mpaka antenna lakini channel bado hazionyeshi!
Shukrani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wana mawazo sanaWatanzania ni wepesi kusahau, apo alishasau kitu gani walifanya dukan, akaita mpaka na fundi,.. Dayummm!!!
Mh!? Mimi mbona sijaambiwa habari yoyote kuhusu card??Umetia kadi ya kampuni gani ndani ya hiyo built in decoder Tv?
Huu ndo ushauri wako?Watanzania ni wepesi kusahau, apo alishasau kitu gani walifanya dukan, akaita mpaka na fundi,.. Dayummm!!!
Yeye anasema shida ni antenna! Lakin mm nimeweka na bado hali ipo vile vileWapigie hapo uliponunulia hiyo tv.
Kama ni karibu kamchukue fundi wao.Yeye anasema shida ni antenna! Lakin mm nimeweka na bado hali ipo vile vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaah! DuuhUsihofu mkuu itakuwa bado kinakuonea aibu hicho king'amuzi.Vuta subira kikikuzoea kitafanya kazi kama kawaida
Ok mkuu
mbali ndio wapi? hapo lazima uwe na kadi au no. za kuingizia malipo huwezi pata channel bure, hizo TV ni nzuri jata iibiwe mbali hao wanaokupelekea picha km ni azam tv wataipata (haziibjwi hizo)
Sawa nitanunuaBora ununue tu kinģamuzi sijawahi kuona hiyo mambo ikifanikiwa katika zama hizi za digital sanasana utapta tbc tu