Sumu kali Member May 28, 2017 56 86 Nov 24, 2019 #1 Wakuu habarini, TV yangu aina ya TCL Smart TV imepigwa shoti haiwaki fundi kasema card ya Tv imeungua. Sijui naweza pata card ya TV kwa bei gani na maeneo gani kwa Dar es Salaam?
Wakuu habarini, TV yangu aina ya TCL Smart TV imepigwa shoti haiwaki fundi kasema card ya Tv imeungua. Sijui naweza pata card ya TV kwa bei gani na maeneo gani kwa Dar es Salaam?
Kwekitui JF-Expert Member Oct 29, 2017 1,070 1,078 Nov 24, 2019 #2 Aisee pole Uza screper na nunua Sony/LG Yalinikuta sikushauri uanze kutafuta card utapoteza pesa
Dumelang JF-Expert Member Aug 11, 2011 3,194 5,598 Nov 24, 2019 #3 Kama ni card tafta tu inarudi poa. Ingekuwa screen hapo kadi ni cheap chini ya laki moja Sumu kali said: Wakuu habarini, TV yangu aina ya TCL Smart TV imepigwa shoti haiwaki fundi kasema card ya Tv imeungua. Sijui naweza pata card ya TV kwa bei gani na maeneo gani kwa Dar es Salaam? Click to expand...
Kama ni card tafta tu inarudi poa. Ingekuwa screen hapo kadi ni cheap chini ya laki moja Sumu kali said: Wakuu habarini, TV yangu aina ya TCL Smart TV imepigwa shoti haiwaki fundi kasema card ya Tv imeungua. Sijui naweza pata card ya TV kwa bei gani na maeneo gani kwa Dar es Salaam? Click to expand...
pamjela JF-Expert Member Jun 18, 2016 383 708 Nov 24, 2019 #4 Kwekitui said: Aisee pole Uza screper na nunua Sony/LG Yalinikuta sikushauri uanze kutafuta card utapoteza pesa Click to expand... card zipo ila haitakuwa smart tena itakuwa ya kawaida na inapona na gharama haizidi laki shida ni kumpata fundi mtaalam wa kufunga card urniversal
Kwekitui said: Aisee pole Uza screper na nunua Sony/LG Yalinikuta sikushauri uanze kutafuta card utapoteza pesa Click to expand... card zipo ila haitakuwa smart tena itakuwa ya kawaida na inapona na gharama haizidi laki shida ni kumpata fundi mtaalam wa kufunga card urniversal
kcamp JF-Expert Member Aug 31, 2014 8,514 7,909 Nov 25, 2019 #5 Kwekitui said: Aisee pole Uza screper na nunua Sony/LG Yalinikuta sikushauri uanze kutafuta card utapoteza pesa Click to expand... Yalikukuta kweny tv gani?
Kwekitui said: Aisee pole Uza screper na nunua Sony/LG Yalinikuta sikushauri uanze kutafuta card utapoteza pesa Click to expand... Yalikukuta kweny tv gani?
Sumu kali Member May 28, 2017 56 86 Dec 7, 2019 Thread starter #6 Nipo mbagala rangi 3 yoshas said: Upo dar maeneo gani Click to expand...
Sumu kali Member May 28, 2017 56 86 Dec 7, 2019 Thread starter #7 Ninachotaka ifanye kazi ,hata kama haitokua smart pamjela said: card zipo ila haitakuwa smart tena itakuwa ya kawaida na inapona na gharama haizidi laki shida ni kumpata fundi mtaalam wa kufunga card urniversal Click to expand...
Ninachotaka ifanye kazi ,hata kama haitokua smart pamjela said: card zipo ila haitakuwa smart tena itakuwa ya kawaida na inapona na gharama haizidi laki shida ni kumpata fundi mtaalam wa kufunga card urniversal Click to expand...
Troublemaker JF-Expert Member Jun 8, 2015 19,905 38,560 Dec 31, 2019 #9 ngawia said: Blackstone TV ubora wake ukoje wakuu Click to expand... Hiyo kampuni jiwe kama jina lake, nilinunua 32" mwaka 2015 nimeiuza mwezi uliopita ikiwa poa kabisa.
ngawia said: Blackstone TV ubora wake ukoje wakuu Click to expand... Hiyo kampuni jiwe kama jina lake, nilinunua 32" mwaka 2015 nimeiuza mwezi uliopita ikiwa poa kabisa.