Tv yangu TCL Smart Tv inch 40 imepigwa shoti haiwaki

Sumu kali

Member
May 28, 2017
56
86
Wakuu habarini, TV yangu aina ya TCL Smart TV imepigwa shoti haiwaki fundi kasema card ya Tv imeungua.

Sijui naweza pata card ya TV kwa bei gani na maeneo gani kwa Dar es Salaam?
 
Aisee pole
Uza screper na nunua Sony/LG

Yalinikuta sikushauri uanze kutafuta card utapoteza pesa
 
Kama ni card tafta tu inarudi poa. Ingekuwa screen hapo kadi ni cheap chini ya laki moja
Wakuu habarini, TV yangu aina ya TCL Smart TV imepigwa shoti haiwaki fundi kasema card ya Tv imeungua.

Sijui naweza pata card ya TV kwa bei gani na maeneo gani kwa Dar es Salaam?
 
Aisee pole
Uza screper na nunua Sony/LG

Yalinikuta sikushauri uanze kutafuta card utapoteza pesa
card zipo ila haitakuwa smart tena itakuwa ya kawaida na inapona na gharama haizidi laki
shida ni kumpata fundi mtaalam wa kufunga card urniversal
 
Ninachotaka ifanye kazi ,hata kama haitokua smart
card zipo ila haitakuwa smart tena itakuwa ya kawaida na inapona na gharama haizidi laki
shida ni kumpata fundi mtaalam wa kufunga card urniversal
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom