Wakuu habarini, TV yangu aina ya TCL Smart TV imepigwa shoti haiwaki fundi kasema card ya Tv imeungua.
Sijui naweza pata card ya TV kwa bei gani na maeneo gani kwa Dar es Salaam?
card zipo ila haitakuwa smart tena itakuwa ya kawaida na inapona na gharama haizidi lakiAisee pole
Uza screper na nunua Sony/LG
Yalinikuta sikushauri uanze kutafuta card utapoteza pesa
Yalikukuta kweny tv gani?Aisee pole
Uza screper na nunua Sony/LG
Yalinikuta sikushauri uanze kutafuta card utapoteza pesa
Hiyo kampuni jiwe kama jina lake, nilinunua 32" mwaka 2015 nimeiuza mwezi uliopita ikiwa poa kabisa.Blackstone TV ubora wake ukoje wakuu