hakuna cha mchina wala original ni kesi za kawaida zinatokea kwenye tv yoyoteMchina katika ubora wake!! Kununua kitu bei rahisi ni gali kuliko kununua vitu bei ya juu!!
Chomoa waya za deck ndo uende kwenye Tv mode..Wadau msaada ghafla Tv yangu sasa inaonyesha black and white badala ya kuwa ya rangi kama kawaida yake nimejaribu kwenda kwenye tv mode ili niweze kujaribu kubadili lakini haiendi inaenda tu kwenye picture mode,sound mode,osd language basi.
Nimeboreka kweli kwa anayejua msaada tutani tafadhali.
Hata yeye anajua ni setting...sasa ni setting gani na amalize vipi tatizo?Umekosea kwenye setting
Kwanza uwe unasema ni tv model gani? ili iwe rahisi watu kukusaidia. Jaribu kwenda kwenye settings halafu tafuta sehemu ambayo utaona kuna PAL,SECAM,NTSC, sasa hakikisha iwe PAL. au kama unatumia king'amuzi basi jaribu kubadilisha waya wako (scart cable au HDMI cable) wakati mwinginw zikiwa loose huwa inaleta shida hiyo au hupati sauti. Vile vile kabla ya kujua kama tatizo ni TV au siyo, jaribu kuangalia dvd au USB yenye movie au picha na uone kama zinaonyesha za rangi au B&W.Hata yeye anajua ni setting...sasa ni setting gani na amalize vipi tatizo?
Nadhani kakupataKwanza uwe unasema ni tv model gani? ili iwe rahisi watu kukusaidia. Jaribu kwenda kwenye settings halafu tafuta sehemu ambayo utaona kuna PAL,SECAM,NTSC, sasa hakikisha iwe PAL. au kama unatumia king'amuzi basi jaribu kubadilisha waya wako (scart cable au HDMI cable) wakati mwinginw zikiwa loose huwa inaleta shida hiyo au hupati sauti. Vile vile kabla ya kujua kama tatizo ni TV au siyo, jaribu kuangalia dvd au USB yenye movie au picha na uone kama zinaonyesha za rangi au B&W.