JosephElly JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,432 Reaction score 1,035 Jun 9, 2012 #1 Ninatumia Euro sola '14 Ila tangu jana naona usiku haikamati stesheni hata moja. Labda chanzo kinaweza kuwa nn ndugu?
Ninatumia Euro sola '14 Ila tangu jana naona usiku haikamati stesheni hata moja. Labda chanzo kinaweza kuwa nn ndugu?
Baba Mtu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2008 Posts 870 Reaction score 170 Jun 9, 2012 #2 Donn said: Ninatumia Euro sola '14 Ila tangu jana naona usiku haikamati stesheni hata moja. Labda chanzo kinaweza kuwa nn ndugu? Click to expand... Wee unatakiwa utizame TV wakati wa mchana tu na sio usiku, usiku ni wakati wa kulala, TV yako nayo inataka kulala. Pole dogo, usikacrike ni jokes tu.
Donn said: Ninatumia Euro sola '14 Ila tangu jana naona usiku haikamati stesheni hata moja. Labda chanzo kinaweza kuwa nn ndugu? Click to expand... Wee unatakiwa utizame TV wakati wa mchana tu na sio usiku, usiku ni wakati wa kulala, TV yako nayo inataka kulala. Pole dogo, usikacrike ni jokes tu.
JosephElly JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,432 Reaction score 1,035 Jun 9, 2012 Thread starter #3 hahaha... Pouwa bana
Ukwaju JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 13,384 Reaction score 11,285 Jun 9, 2012 #4 Hujasema upo mji au kijiji gani? Tumia cable za kukodi, weka antena ya CDM au angalia video kwa deck VHS DVD nk
Hujasema upo mji au kijiji gani? Tumia cable za kukodi, weka antena ya CDM au angalia video kwa deck VHS DVD nk