Wanajanzi,
Mwenzenu yamenikuta, lasti week wenye mji wao walinitembelea, wakanivunjia ki-appartment changu cha kupanga hapa SINZA na kuniibia nilivyoviorothesha hapo juu...tena mchana kweupe mida ya kuanzia 1400h nikiwa mzigoni! Nimeamua kukubali matokeo lakini ombi langu ni kwa wale tu wenye uzoefu na wanavyojua hawa watu huwa wana-operate vipi, kuna popote/chochote naweza kufanya kuweza kuvitapa tena???