Hizi ni picha za mtandaoni.. Hivyo si lazima uagize nje kwa gharama kubwa ama uingie dukani
Ukipata vipimo sahihi kulingana na ukubwa wako na ukawapata mafundi mahiri basi unaweza kupendezesha sebule yako kea gharama nafuu sanaView attachment 3220296View attachment 3220297
shida hizi kazi nyingi hapa kwetu zinafanya localy kwa sababu wataalamu si wengi wa interior design hata waliokuwepo bado hawafanyi to the standard kuliko majirani zetu kenya.
mbaya zaidi hata kozi za interior design zinatolewa pale ardhi tu. nina passion sana ya interior design hasa kufanya kazi kiprofessional zaidi. nimeanza kujifunza program za kudesign binafsi. natamani nisomee kabisa kozi bahati mbaya niko mbali na ardhi university