TV Series Reviews

TV Series Reviews

kwa mwenye slave hunter hapa arusha naomba tuwasiliane ningependa kuicheki nasikia ni nzuri sana.tutaexchange series,ninazo series nyingi sana ambazo ni latest.
Mkuu mi ninayo ila nipo Mtwara pia IRIS 1&2 na Dong Yi. Nazungumzia episode zote kwa hizo nilizozitaja.
Tukutane PM kwa yeyote atakayehitaji.
 
Wale wapenzi wa Tv series karibuni kwenye hii thread tufanye kubadilishana mawazo, mimi ntaanza kwa kuzitaja series nilizoangalia na ninazoendelea kuangalia.
1: 24
2: Prison Break
3: Breaking Bad
4: The Firm
5: Hostages
6: Last resort
7: Revolution
8: The Blacklist
9: Under the dome
10: Dominion
11: Gang Related
12: Tyrant
13: Homeland
14: Reckless
15: The divide
16: Banshee
17: Falling Skies
18: Single ladies
19: The 100
20: Strike Back

Here we go.....

mkuu naomba unitajie mbil 2 ukiondoa
24
prison break
arrow
ambazo kali za kijasusi na kipelelezi
 
kuna three kingdoms... ni nzuri...na kuna app ya kushusha muvi za kikorea unaijua???

Ngoja niisake hiyo 3 kingdoms.........Hiyo apps ninayo lakini kwangu haifanyi kazi sijui tatizo nini.
 
Wale wapenzi wa Tv series karibuni kwenye hii thread tufanye kubadilishana mawazo, mimi ntaanza kwa kuzitaja series nilizoangalia na ninazoendelea kuangalia.
1: 24
2: Prison Break
3: Breaking Bad
4: The Firm
5: Hostages
6: Last resort
7: Revolution
8: The Blacklist
9: Under the dome
10: Dominion
11: Gang Related
12: Tyrant
13: Homeland
14: Reckless
15: The divide
16: Banshee
17: Falling Skies
18: Single ladies
19: The 100
20: Strike Back

Here we go.....

single ladies ni shidaaah!
 
Giti;Prison Break
Jumong
The Land of Wind
City Hunter
Slave Hunter
Crime Squad
Warior Baek Dong Soo
Iljimae
Iris
A Man Called God
Painter of The Wind
Great Queen Seondeok
Faith
Legend of The Seeker
Merlin
Revolution
Arrow
Strike Back
Hostages
Person of Interest
The Blacklist
Tyrant
Under The Dome
Pirrates of the Sea
The last Ship
Vikings
Nice list ila tafuta moja inaitwa Hell on wheels,traveller japo ni ya zamani,tyrant
 
Nice list ila tafuta moja inaitwa Hell on wheels,traveller japo ni ya zamani,tyrant[/QUOTE]

tyrant naicheki mkuu... traveller niliichekigi season one sikuifatilia tena.... I THINK I NEED TO REWATCH IT
 
Back
Top Bottom