Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Labda tujue kwa nini hutaki ya dukani....
Mimi niko nachingwea kwenye kijiji cha Lionja, ninayo LG Tv 37 inch mpya kabisa (only used for a week) kwenye box lake kwa sh 200000 ukitaka njoo chukua, i have only 3days kabla sijaondoka nchini.
Mimi niko nachingwea kwenye kijiji cha Lionja, ninayo LG Tv 37 inch mpya kabisa (only used for a week) kwenye box lake kwa sh 200000 ukitaka njoo chukua, i have only 3days kabla sijaondoka nchini.
hapana, hela ya kula safarini usinipe kwamaana kwenye ndege wana include kwenye ticket. ngoja nikutumie Tv yako kwa mpesa sasa hivi, naomba nambar yako ya simu na password ya mpesa, hata ya tigo pesa au airtel money ni powa piaNtakupa laki tatu mkuu, na tiketi ya kwenda nje ya nchi pamoja na hela ya kula safarini fanya haraka nina siku moja tu kabla sijaenda kununua mpya dukan.
hapana, hela ya kula safarini usinipe kwamaana kwenye ndege wana include kwenye ticket. ngoja nikutumie Tv yako kwa mpesa sasa hivi, naomba nambar yako ya simu na password ya mpesa, hata ya tigo pesa au airtel money ni powa pia
Wadau acheni utani na dhihaka kwenue uzi huu.
Nawewe hujui kuwa uzi huu ni wautani? yeye hajui maduka ya kuuzia tv huko Arusha, TV zinauzwa mpaka na machinga na hata za mtumba kibao tu, hata akitaka za wizi zipo ngarenaro. hapa angeomba ushauri kuhusi aina za TV ili akanunue.Wadau acheni utani na dhihaka kwenue uzi huu.
imetumika mda gani vipi ilishawahi kwenda kwa fundi? 350000 ipoMm ninayo tcl 32" led tv nauza 450000 niko dsm