Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,508
- 13,976
Wadau habari za jioni?
Ninahitaji kununua Tv Inch 27 au 28, ambayo ni flat,haina chogo,iwe na rimoti yake inayofanya kazi,iwe haijawahi kufunguliwa.
Ikiwa mpya kwenye box lake itakuwa vizuri zaidi.
Kama unayo nipe aina yake na bei yako,pia nitumie na picha yake.
Napatikana Arusha kwa sasa.
Mwasiliano: 0752489529 au NI PM.
Asanteni.