Kitu kipya! Mlikuwa na mashaka gani mpaka mkaamua kuitest!!?
Nyoosha maelezo kuwa imetumika.
Nakutakia kila la kheri mkuu wangu, wala sina nia mbaya kwa swali nililouliza.Wewe si mnunuzi mkuu, huwezi kujua tafrani za watu, .. Unafanya jambo leo, kisha kesho linazuka jambo ambalo hukutarajia, na njia pekee ya ku Deal nalo ni kutumia ulichonacho, na kwa bahati mbaya ulishakitumia kununulia kifaa kama hivi TV,. Sasa unafanya je? Inauza kile ulichonunua ambacho kipo katika hali nzuri ya kupata soko haraka ili utatue tatizo.. Ingelikuwa na ubovu wowote, ningeliirudisha dukani, kwakuwa waranti yake ipo, na ina siku 16 tu tangu inunuliwe..
Serious Buyers are welcome.. Nachotaka kurudisha PESA YANGU bila kupata lose KUBWA.. Dukani ni 750,000...
Mimi kufanya 650,000 ni ili niweze kupata hiyo hela mapema nisolve dharura iliyoipata.. Wenye UELEWA NA MAISHA WAMENIELEWA.HATA WEWE PIA NI MUELEWA SINA SHAKA HATA KIDOGO.
Poa ukishindwa kabisa kuna 450 hapaKwa hizi SMART BEI NI 7.8K MPAKA 7.5K..
jaribu kurudisha dukani uliponunulia, ukubali wakukate kodi, na uchukue hiyo 650,uwaachie 100? jaribu hiyo baadhi ya maduka huwa wanakubali, waeleze ukweli tu.Wewe si mnunuzi mkuu, huwezi kujua tafrani za watu, .. Unafanya jambo leo, kisha kesho linazuka jambo ambalo hukutarajia, na njia pekee ya ku Deal nalo ni kutumia ulichonacho, na kwa bahati mbaya ulishakitumia kununulia kifaa kama hivi TV,. Sasa unafanya je? Inauza kile ulichonunua ambacho kipo katika hali nzuri ya kupata soko haraka ili utatue tatizo.. Ingelikuwa na ubovu wowote, ningeliirudisha dukani, kwakuwa waranti yake ipo, na ina siku 16 tu tangu inunuliwe..
Serious Buyers are welcome.. Nachotaka kurudisha PESA YANGU bila kupata lose KUBWA.. Dukani ni 750,000...
Mimi kufanya 650,000 ni ili niweze kupata hiyo hela mapema nisolve dharura iliyoipata.. Wenye UELEWA NA MAISHA WAMENIELEWA.HATA WEWE PIA NI MUELEWA SINA SHAKA HATA KIDOGO.
Laki tano ndio bei ya dukaniTv haijatumika, siwezi kuuza hata kwa laki tano mkuu
Samsung OG, kwa SAMSUNG AUTHORIZED DEALER KARIAKOO, 32" LED YA KAWAIDA NI 650,000 HADI 600,000, SMART 32" NI 780,000 HADI 750,000..Mm natafuta sumsung og cjui ata bei jamani. Msaada pls