Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,752
- 21,974
Fresh sana, inapendeza kupeana hi.Poa,vp Kamanda?
Fresh sana, inapendeza kupeana hi.Poa,vp Kamanda?
Ukorofi sasaSi umesema ni ya kichina mkuu?
I appreciate you aisee😉Fresh sana, inapendeza kupeana hi.
I second that 👍I appreciate you aisee😉
☺️🙏🏽I second that 👍
Mbona poa tu hapo ni kucheka tu,kilio chetu kwa Tanesco mchina kakisikia...bado feni na taa sasaWakuu, nimenunua TV ya kichina mpya, iko vizuri tu.
Ila cha ajabu kwenye kona juu kulia, inaonesha alama ya battery na 100%, sijui inamaanisha nini?