TV Haiunganishi king'amuzi

TV Haiunganishi king'amuzi

goodhearted

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
1,070
Reaction score
1,383
TV yangu inawaka vizuri tu na king'amzi kinawaka fleshi. Tatizo kingamzi hakisomi kwenye TV nimebadili waya wapi, kingamzi nimejaribu TV nyingine kinasoma. Akiri imestuk, naomba msaada
 
Natumia AV ila inachagua lakini inaandika tu AV na kubaki na rangi yake ya bluu bila hata kuinganisha
Jarbu kutumia waya wa hdmi kama inasuppott hata mm nina kitv kinazngua soma avi ya kingamuz natumia hdmi
 
Kama TV ina av zaidi ya Moja jaribu kubadili..
 
Ukiachana na king'amuzi umejalibu kuweka deki, I, tv yako aina gani? Tujue na hilo kwanza
 
Back
Top Bottom