Adolph
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 895
- 346
wakuu nimenunua tv capture card na nimeifanyia installation kwenye computer yangu...kiujumla inafanya kazi nikiweka antena tv inaonyesha vizuri tu..tatizo nimeconnect decoda ya startimes kwa kutumia sehemu ya s-video..inaonyesha ila haina rangi..naombeni msaada tatizo hapa ni nini?nikichomeka antena napata tv na zinaonyesha kwa rangi..ila nimeunganisha startime kwa kutumia s-video haionyeshi rangi...